Msaada: Nifanyaje kuhusu matatizo haya ya gari?

Naona Sae-40,maji ya bomba,kutoa thermostat kumeshaleta majibu kwny engine tayari.
Aisee...! Ila kuna magari roho ya paka. GX 100 cresta linabwia oil yoyote. Kuna siku nilienda service oil ikatoka kama Lita moja tu kama maji! Huku mtaani nilikuwa nalikamua kishenzi.
Vigari vidogo ukiki-abuse kidogo tu unachoma engine.
 
Hahah hii machine 1g-fe ni yenyewe aisee,kwa shida na raha.

Nilishakaaga nayo mwaka 1 na miezi kama 5 sijabadili oil wala nini na wala haikuwahi hata kuleta shida yoyote.
 
Hahah hii machine 1g-fe ni yenyewe aisee,kwa shida na raha.

Nilishakaaga nayo mwaka 1 na miezi kama 5 sijabadili oil wala nini na wala haikuwahi hata kuleta shida yoyote.
Watu hawajui,kama unahitaji gari ikupitishe kipindi cha mpito ni hizi GX100 wao wanakimbilia IST na Passo wanafikiria mafuta tu. Mimi ninayo siiuzi huwa inakaa kusubiri hali ngumu ndio naitumia. Watu kibao wananisumbua niwauzie
 
Watu hawajui,kama unahitaji gari ikupitishe kipindi cha mpito ni hizi GX100 wao wanakimbilia IST na Passo wanafikiria maisha tu. Mimi ninayo siiuzi huwa inakaa kusubiri hali ngumu ndio naitumia. Watu kibao wananisumbua niwauzie

Hio sio ya kuuza kabisa aisee,ile kitu kwa mtu aliyeko dar ili alimiliki na alitumie daily lazima awe mwanaume kweli kweli kwny wese tu.

Mimi nilikua natumia mpk wese la 400,000/month ila nilivyoenda nalo huko mkoani ambako hakuna foleni nilikua natumia 250,000 tu per month.

Nilipiga nalo mzinga mwaka 2016, lkn hua na-plan nimvue mtu tena maana wasiojua kazi yake wanayauza kwa bei rahisi,kiukweli ni gari ambayo haikua na headache hata 1.
 
Kwenye wese lazima ujipange. Bajeti yangu ilikuwa 400,000-500,000 kwa mwezi. Hili mpaka nifanane nalo
 
Mwongo,Chukua swift old model 1300cc mpaka bukoba unafika!
 
Mwongo,Chukua swift old model 1300cc mpaka bukoba unafika!
Nshasema, ukitumia crown kubebea tofali haibadiliki kuwa fuso. Itabeba ndio ila in time itakupa matokeo.

Cc 1300 si gari za safari ndefu, zile ni short trip cars na ndo maana ni rafiki kwenye mafuta, ila unaweza safiria maana watu wanasafiri hadi na bajaji, ss bajaji nayo ni ya masafa marefu?
 
broo hako kagari hukupaswa kukapigisha masafa hayo non stop ulika overdoz ndio maana kameua injin..dar moro sawa au dar dodoma sawa tena sio non stop kwa speed hapana..
 
Na mimi napata hisia hizo zaidi ya asilimia 95...[emoji37][emoji37]
Kwa sababu nina mshkaji wangu yupo Dar ana Toyota porte...kwao ni Kagera na ameshaenda nayo Kagera mara mbili bila shida..

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni mzembe Kwenye kutunza gari kwasabb kama Safar ndefu mimi mwenyewe nimefanya safar nyingi Tu ndefu na carina ti na sijapata shida yeyote njiani,mwaka Jana December nimefanya Safar kutoka DAR,Mwanza Hadi bunda na nikaingia mwibara,kisorya Hadi ukerewe na gari ilikuwa poa mwanzo mwisho..
Gari yeyote ukishaanza kutumia maji ya dawasco badala ya coolant usitegemee gari hiyo kudumu mazingira yetu
 
Ila sisi watanzania tuna akili ya ajabu sana, hivi coolants zina gharama gani za ajabu mpaka mtu aanze kuweka maji?
 
Watu hawajui,kama unahitaji gari ikupitishe kipindi cha mpito ni hizi GX100 wao wanakimbilia IST na Passo wanafikiria mafuta tu. Mimi ninayo siiuzi huwa inakaa kusubiri hali ngumu ndio naitumia. Watu kibao wananisumbua niwauzie
Mkuu altezza nayo unaionaje,ni roho ya paka gx 100?
 
Poa mkuu,mark x nayo vipi?
Mark X engine kubwa haiwezi kuharibika kwa kukimbia au hard driving yoyote,ni nzuri kwa trip za mikoani mwenye lami. Ila body na vitu vingine sio vigumu ni laini laini.

Wajapan washaacha kutengeneza vyuma vigumu design ya Cresta GX100 sasa ni mwendo wa sura nzuri laini laini.
 
Mkuu altezza nayo unaionaje,ni roho ya paka gx 100?
Alteza ni gari linalohitaji matunzo sana ya body kuliko hata IST...

Kuna watu watabisha..
Kulingana na ukubwa wa injini ya Alteza, haiendani na ugumu wa body lake ..

Huwa body hasa pale mbele linatepeta na inakuwa mbaya sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kiongozi 👏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…