You are right, at the same time you're wrong....
Gari lolote likitunzwa vizuri na kupewa huduma zenye ubora..(vipuri), nakuhakikishia utaliendesha si chini ya miaka 10 na hapo bado huko Japan walishalichoka..
Kinachofanya magari yafe ghafla..
1....Ajali..hii haina ujanja
2....Kufanya service zilizochini ya kiwango hususani transmission fluid, engine oil na filter s zake, coolant, spark plugs na air filter pamoja na vipuri vingine vilivyopo sehemu nyeti zinazosuguana..eg cv joints.
3....Mikono mingi....unanunua gari, kila mshikaji ndiyo analitumia kwendea kwa demu wake huku akiweka mafuta ya buku 5...akilichubua rangi anakutupia hapo.
4....Tabia mbaya ya uendeshaji mbaya...mfano mtu anafukia mashimo na Passo kama vile prado.
Ukiepuka namba 2 mpaka 4 utaliendesha gari lako mpaka lifanane na wewe..
Namba 1 haiepukiki...hapo ni kuwa tu mwangalifu na Mungu asaidie.
Sent using
Jamii Forums mobile app