Madaktari nilitokwa na kidonda cha homa kwenye lip ya chini ya mdomo ila balaa zaid kila nikinywa maji au kula chakula hiki kidonda kinalowa na kuwa kibichi na uwezekano wa kupona unakimbia nashindwa elewa kwamba au nisile na kunywa msaada wenu plz7!