Msaada nifanyaje kukausha hiki kidonda kwa hara ili niishi?

Msaada nifanyaje kukausha hiki kidonda kwa hara ili niishi?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Madaktari nilitokwa na kidonda cha homa kwenye lip ya chini ya mdomo ila balaa zaid kila nikinywa maji au kula chakula hiki kidonda kinalowa na kuwa kibichi na uwezekano wa kupona unakimbia nashindwa elewa kwamba au nisile na kunywa msaada wenu plz7!
 
Back
Top Bottom