Methyl phenol
Senior Member
- Jul 22, 2021
- 184
- 280
Habari za muda huu wana ndugu,
Binafsi niko njema japo kuna mwana kajua kuniharibia siku aisee!
Iko hivi, nimepita Barbershop [emoji610] mahali kurekebisha nywele, as usual na siyo mara ya kwanza kwenda kwa mshkaji, it’s nearly kitaa ninapoishi, sio mbali. Basi bwana, nimenyoa pale (afro) almost kupunguza tu pembeni, leveling ya za juu kidogo na kuchonga.
Basi bwana kabla ya kuzi-level mwana nikamwambia kwa juu zipunguze kidoogo, kidogo sana (nkarudia), poa. Mwana akaseti mashine ya kunyolea, eeeh, nakuja stuka jamaa anakwangua nywele zangu!
Yaani ka insert shever parefu nywele almost zote kashazkwangua! Nikamwambia vipi mwana mbona nimekwambia kidogo? Daaah, jamaa nilimmaind, sasa ndiyo hivyo tena ikabdi tu aende na hiyo level otherwise zingepishana.
Sasa jamaa kanimalizia nywele zangu daaah, nikipiga mahesabu nilivyo-suffer nazo naishiwa pozi kabisa. Shida nyingine yaani, nina muda sana kukaa bila nywele au nywele fupi sana , yaani mpaka mimi mwenyewe najiona kituko, aaah!
Watu waliyonizoea wananicheka daah, nimeingia geto, nimejiangalia kwenye kioo, nimenyofoa kioo ukutani nmepasua chini. [emoji3063][emoji3063]
Msaada what can i use please, mafuta au sabuni kufastisha izi nywele zangu kukua, sijazoea kabisa. Kesho tu nawaza nidake kofia wakati nasubiri msaada wenu.
Kuna mtu kanidokezea black kuza, vipi inaweza kuonyesha matokeo within a week?