Msaada; Nifanyeje kuondoa dawa kwenye nywele?

Mafuta ya kusuka ni kama yapi
 
Dah nikizinyoa nawaza kuanza tena upya mtihani
 
ahaaa wanasema bia iliyoexpire.
 
nyoa tu .hakuna namna .hata mimi nilinyoa last year august .zimeota tu fresh sina mpango wa kuweka tena dawa ya mchina
 
nyoa tu .hakuna namna .hata mimi nilinyoa last year august .zimeota tu fresh sina mpango wa kuweka tena dawa ya mchina
Yaani na mimi dawa sitaki!!! Ila nywele zangu nyingiii... Zinasumbua kuchana!
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani naona kali inaniita polepole!!!
 
Yaani na mimi dawa sitaki!!! Ila nywele zangu nyingiii... Zinasumbua kuchana!
[emoji23][emoji23][emoji23] yaani naona kali inaniita polepole!!!
yaani mimi nimekuwa kama chizi maana nilikuwa nimeweka rafu dread sasa zimekuwa ndefu rafu yenyewe inagoma taabu tupu.nikisuka siku mbili zinasimama kama kibamia cha mwanaume wa dar asubuhi .sijui nifanyeje tena
 
Ivi in kweli bia inaondoa dawa ya nywele? Au nifanye nini kuondoa dawa katika nywele zangu?

Anza upya binti, nyoa tu, zitaota fresh. Tena siajabu ukinyoa utapendeza zaidi kuliko ulivyo sasa!!!!
 
yaani mimi nimekuwa kama chizi maana nilikuwa nimeweka rafu dread sasa zimekuwa ndefu rafu yenyewe inagoma taabu tupu.nikisuka siku mbili zinasimama kama kibamia cha mwanaume wa dar asubuhi .sijui nifanyeje tena
[emoji23] [emoji23] ngoja niwalete wanaume wa dar wake wakuonyeshe
 
Kunyoa ndio solution sahihi na nywele zinakuwa within no time. . Uzuri pia it is easy and cheapto handle nywele fupi

Ukitaka kutokata nywele, you need kuziangalia Sana, na kutumia products nzuri
 
Hyo kitu hainaga njia yeyote inayoweza ondoa dawa...dawa ni kumuona kinyozi tu
 
Usiziritach ten mie nimeacha tangu mwaka juzi February mpk leo sijaritach ten nywele za dawa zimeisha nimebakiwa na nywele zangu original mashaAllah na nywele zangu ni nying nyeusii tii nazifurahia sasa sintoweka dawa ten maishan mwangu khaa dawa inaharibu nywele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…