Msaada; Nifanyeje kuondoa dawa kwenye nywele?

Msaada; Nifanyeje kuondoa dawa kwenye nywele?

Usiziritach ten mie nimeacha tangu mwaka juzi February mpk leo sijaritach ten nywele za dawa zimeisha nimebakiwa na nywele zangu original mashaAllah na nywele zangu ni nying nyeusii tii nazifurahia sasa sintoweka dawa ten maishan mwangu khaa dawa inaharibu nywele
Hazikatiki??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa nikunyoa hakuna mbinu nyingine, ukipata dawa njoo nikurudishie pesa yko
 
Back
Top Bottom