E E.skillz Member Joined Oct 24, 2015 Posts 38 Reaction score 36 Aug 14, 2016 #1 Mimi ni entrepreneur nakopesha mitaani kwa riba nataka kusajili hii biashara yangu ili niweze kulipa kodi naomba kujulishwa nianzie wapi na inawezekana kupata kibali cha kukopesha pesa kwa Riba?
Mimi ni entrepreneur nakopesha mitaani kwa riba nataka kusajili hii biashara yangu ili niweze kulipa kodi naomba kujulishwa nianzie wapi na inawezekana kupata kibali cha kukopesha pesa kwa Riba?
M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Aug 15, 2016 #2 Uko wapi nami unikopeshe