Msaada: Nifanyeje nisajilin kampuni yangu ya kukopesha?

Msaada: Nifanyeje nisajilin kampuni yangu ya kukopesha?

E.skillz

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
38
Reaction score
36
Mimi ni entrepreneur nakopesha mitaani kwa riba nataka kusajili hii biashara yangu ili niweze kulipa kodi naomba kujulishwa nianzie wapi na inawezekana kupata kibali cha kukopesha pesa kwa Riba?
 
Back
Top Bottom