msaada niki-download ktk pc yangu napata hii msg

msaada niki-download ktk pc yangu napata hii msg

maleka

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
143
Reaction score
33
[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TD]Welcome to the Cyberoam Web Client Portal![/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 0"]
[TR]
[TD="align: center"][TABLE="align: left"]
[TR]
[TD="colspan: 5"] [/TD]
[/TR]
[TR="bgcolor: #FFFFFF"]
[TD="width: 7%"] [/TD]
[TD="colspan: 2"]Cyberoam Captive Portal
[/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[TD="width: 7%"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] [/TD]
[TD="colspan: 3"][/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] [/TD]
[TD="width: 43%"]
Username
Password
[/TD]
[TD="width: 3%"] [/TD]
[TD="width: 40%"][/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5, align: center"]Note : On closing this window, you will be logged out.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 0"]
[TR]
[/TR]
[/TABLE]
 
hii sio computer ya ofisi ..? unatumia internet ya modem au wireless au LAN ofisi..?
kama ni internet ya ofisi lazima watakuwa na restrict features fulani..
 
ilo co tatizo angalia default home page baada ya ku open then iwe google
 
hii sio computer ya ofisi ..? unatumia internet ya modem au wireless au LAN ofisi..?
kama ni internet ya ofisi lazima watakuwa na restrict features fulani..

thx mkuu,,kweli ni computer ya ofisi may be wame restrict kweli kwani co zote zinaleta hii msg..
thnks
 
Hili tatizo hata kwenye komputa yangu lilitokea lakini liliisha nilipata mtaalamu akanipa maelezo haya na nikayafuata kwa umakini na kuyatekeleza, "chukua ndoo ya chuma iliyojaa maji, weka majivu vijiko vya chai saba katika ndoo hiyo, tia chumvi vijiko tisa, tenga kwenye moto wa kuni hadi maji hayo yachemke alafu tumbukiza hiyo komputa yako uache ndani ya maji kwa masaa mawili na robo, baada ya hapo utaweza ku-download" UMEELEWA MKUU?
 
nashkuru,,
ckulaumu kwani huenda co tatizo lako.
 
Back
Top Bottom