Msaada nikicheka napoteza fahamu

Msaada nikicheka napoteza fahamu

akazuba

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
533
Reaction score
484
Hi!

Naombeni msaada nikicheka sana yaani baada ya jambo fulani la kufurahisha naona giza na baada ya hapo napoteza fahamu kwa muda kama dakika mbili imewahi kunitokea mara ya tatu sasa

Hii ni dalili ya tatizo gani? Na nini tiba yake?

Nawakilisha!
 
Duh!🙁🙁🙁 this is new from me.
doctors kuja huku..
 
aiseee! Neurologic disorders? subiri wenye taaluma yao waje
 
Back
Top Bottom