Yethero Mgale JF-Expert Member Joined Apr 19, 2012 Posts 525 Reaction score 228 May 31, 2015 #1 Nimekuwa nikitokwa na chunusi kwa wingi usoni pindi ninapotumia matunda kama vile parachichi, fenesi, n.k mara kwa mara. Hivyo naomba ushauri wenu wadau
Nimekuwa nikitokwa na chunusi kwa wingi usoni pindi ninapotumia matunda kama vile parachichi, fenesi, n.k mara kwa mara. Hivyo naomba ushauri wenu wadau
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Jun 1, 2015 #2 inawezekana unamafuta mengi usoni. . . ikiwa kwenye mazingira ya baridi hiyo ni kawaida so nikupunguza tu mapalachichi.
inawezekana unamafuta mengi usoni. . . ikiwa kwenye mazingira ya baridi hiyo ni kawaida so nikupunguza tu mapalachichi.