Msaada: Nikila matunda kwa wingi natokwa chunusi usoni

Msaada: Nikila matunda kwa wingi natokwa chunusi usoni

Yethero Mgale

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
525
Reaction score
228
Nimekuwa nikitokwa na chunusi kwa wingi usoni pindi ninapotumia matunda kama vile parachichi, fenesi, n.k mara kwa mara. Hivyo naomba ushauri wenu wadau
 
inawezekana unamafuta mengi usoni. . . ikiwa kwenye mazingira ya baridi hiyo ni kawaida so nikupunguza tu mapalachichi.
 
Back
Top Bottom