Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,206
- 1,433
Me
wewe ni mimi kabisa, alafu nina huruma sana, kila nikisema sasa hivi simkopeshi mtu nashindwa, mtu akiniambia tu shida yake namuonea huruma kama ninayo namuazima, ila after that nakosa comfidence kabisa ya kumdaui naanza kumkwepa.Hi there/here!!
Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.
Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.
Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?
KabisaNdio maana njia moja wapo ya uhakika ya kupoteza rafiki ni kukopa pesa, na ya pili ya uhakika ni kukopesha pesa.
OP, kama inakufanya unajisikia vibaya, NEVER LEND MONEY TO ANYONE. Problem solved.
Kulogwa huko ka huamini mwangalie mdeni wako ka anakua na hofu mkikutanaDah Wewe kama mimi asee,tupunguze tu hurumaView attachment 2425888
hata mimi yani sipendi kuonana na ninayemdaiUgomjwa wangu huu jamani
Mwenzangu na Mimi wewe,yaan mi ndo naanza na kujichekesha ili asikose amaniHi there/here!!
Nikimdai mtu mimi ndio naaza kumuogopa,yaani ile hali ambayo inabidi apitie mdaiwa ndio napitia mimi.
Sipiti karibu na kwake,si view status zake nk and nakosa kabisa peace of mind na kumkwepa mpaka atakaponilipa pesa yangu.
Hili ni tatizo gani? Nani mwingine analo hili tatizo? Nafanyeje sasa ku’overcome?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzangu na Mimi wewe,yaan mi ndo naanza na kujichekesha ili asikose amani
nilikuwa hivyo siku za nyuma. ili niepukane na hali hiyo ukija kwangu unakopa kama ninacho nakupa tu au ninakwmabia sinaHi there/here!!