Hivi kunywa pombe ni dhambi? If yes toa supportive facts mkuu to prove ua assertion......Mungu ana njia nyingi za kukuonyesha ubaya wa kitu Mkuu.. Huitaji mtaalam kukuambia sababu achana na vilevi maana hakika Yeye ameona madhara ya baadae kwako..
Acha kunywa bia uone kama tumbo litajaa tena.
Hivi kunywa pombe ni dhambi? If yes toa supportive facts mkuu to prove ua assertion......
Kweli kabisa, jamaa hapa kaomba msaada kiafya sasa wenzetu wengine wanajoki tu hapa, hii si sawa. Tumsaidie kama mtu huna utaalamu ni bora UPITE tu.Hivi kunywa pombe ni dhambi? If yes toa supportive facts mkuu to prove ua assertion......
Huwa mtu kadhamiria kabla kwa hiyo anataka huruma kwa kusingizia pombe. Je uliisha sikia JAMBAZI likiilaumu pombe kuwa ndio iliyomtuma?Mkuu Vmark kuna sehemu ambayo mie nimesema pombe ni dhambi..? Lakini pombe hiyo hiyo ci ndo inajulikana kwa kuwa chanzo cha mabaya mengi..? Kutukana.. kushawishi kutenda dhambi za uasherati.. zinaa.. Zinachochea kuvunja familia.. Kupoteza kipato.. kuwa mzembe kazini.. kukutia ujinga na mengine mengi..! Na upo ushahidi wa kitafiti unaonyesha pombe na haswa pombe kali zinachangia kuliharibu ini..
Huwa mtu kadhamiria kabla kwa hiyo anataka huruma kwa kusingizia pombe. Je uliisha sikia JAMBAZI likiilaumu pombe kuwa ndio iliyomtuma?