Msishawishi watu kuacha pombe jamani. Wengine tuna vihisa vyetu kidogo TBL na kadiri watu wanavyokunywa kwa bidii ndio angalau kunakuwa na unafuu kwenye vijidivident.
Nafikiri na hili ndilo lengo la muanzisha hii thread, mnatafuta watu waendelee kunywa bia kwa sababu mna hisa huko TBL na wala hamna habari na afya za watu. SAWA, mpeni Kaisari yaliyo yake kaisari.
jaman watalamu miye ni mnyaji mzuri wa beer kuanzia nane mpaka kumi na zaidi ila kwa sasa nikinywa beer 2 tu nahisi tumbo kujaa inamaana beer ya tau siwezi kuinya sijajua tatizo ni nini