msaada nikinywa beer 2 tumbo linakuwa limejaa

msaada nikinywa beer 2 tumbo linakuwa limejaa

Msishawishi watu kuacha pombe jamani. Wengine tuna vihisa vyetu kidogo TBL na kadiri watu wanavyokunywa kwa bidii ndio angalau kunakuwa na unafuu kwenye vijidivident.
 
Nafikiri na hili ndilo lengo la muanzisha hii thread, mnatafuta watu waendelee kunywa bia kwa sababu mna hisa huko TBL na wala hamna habari na afya za watu. SAWA, mpeni Kaisari yaliyo yake kaisari.

Wanywa bia ni watu wazima, wanazijua kabisa athari za kiafya na za kijamii za unywaji/ulevi - na bado wanatumia hiari yao kuchagua kunywa. Hakuna ubaya wengine tukifaidika.
 
tatizo unakunywa bia kama kilevi ndo mana zinakuvimbisha tumbo ....fanya bia kama maji usinywe kwa pupa tembea nayo kama maji ya kilimanjaro kunywa kidogo kidogo kwa staili ihii hata kreti utamaliza kwa siku
 
jaman watalamu miye ni mnyaji mzuri wa beer kuanzia nane mpaka kumi na zaidi ila kwa sasa nikinywa beer 2 tu nahisi tumbo kujaa inamaana beer ya tau siwezi kuinya sijajua tatizo ni nini

Acha kuwa mnyaji ili uwe mnywaji na uwe unainywa bia badala ya kuinya
 
Back
Top Bottom