Msaada niko njiapanda muda wa mawasiliano na mpenzi wangu

Msaada niko njiapanda muda wa mawasiliano na mpenzi wangu

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
"Kuna huyu binti tulipendana sana, kutokana na mambo ya kazi muda mwingi yeye ndio huanza kunicheki iwe kwa kupiga au sms, sasa ghafla kaanza kulalamika kwamba kwanini kuwasiliana mpaka anitafute yeye, kulingana na kazi yake simu anaweka mbali so napopiga muda yuko bize hapokei hivyo nikamwambia siwezi kupiga nikijua haupokei muhimu ni wewe unapokuwa free nicheki ntakupigia au kama ukipiga tutaongea.

Sasa kashikilia imekuwa ugomvi kiasi naona nashindwa kuendelea nae.

Binafsi siwezi kuwa nampigia hapokei eti atakuta missed call kama anavyodai yeye angalau akikuta missed call anajua nilimkumbuka.

Nimeshindwa kuelewa kabisa hebu nisaidieni nyie wabobezi situation kama hii mnatokaje". Nawasilisha.
 
Piga akipokea sawa, asipopokea sawa.
Kama unahisi tatizo ni wewe badilika, kama ni yeye tafta mbadala wake kwa amani.
Waliosema 'Communication is key ' walikua na maana pana.
Cha mwisho kama huna mpango nae achana nae mkuu, usiogope kupoteza mwanamke yeyote. Linda amani ya moyo wako .
Tunza. Linda. Okoa kibunda.

,
 
Ameshakuacha Huyo hapo unatafutiwa sababu Tu,

Mwenzako amesha move on anachotaka ni wewe Tu kujiongeza.
 
Sasa cha kwanza hii thread sio mahali pake.
Pili,Uache utoto.
Tatu,jifunze kuandika vitu vya kueleweka especially unavyoeleta contents huku kwenye social media platforms.
 
Sasa cha kwanza hii thread sio mahali pake.
Pili,Uache utoto.
Tatu,jifunze kuandika vitu vya kueleweka especially unavyoeleta contents huku kwenye social media platforms.
Ukiacha ujuaji utahama kwenu ukajitegemee, huoni kama kuna quotes?
 
Mimi pia nimeombwa ushauri na kijana nikaona sio mbaya wana jamvi wahusike, sasa alitaka nibadili content niweke zangu ama.
kwani ukisema ni wewe utapungukiwa nini si umeamua kumsaidia kijana mwenzako [emoji16]
 
Back
Top Bottom