Msaada: Nilikunywa pombe kali bila ya kula

mlude-go

Senior Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
118
Reaction score
9
Ninacheua tokea jana mpaka leo nahangaika jamani nitumie kitu gani ili nirudi katika hali yangu ya kawaida.

Msaada tafadhali.
 
Kunywa maji mengi, kula chakula. USIRUDIE TENA utakufa na pombe
 
Kunywa maziwa fresh baridi
Au ndizi mbivu moja
 
Roho inatapa tapa, muda si mrefu itatoka.
 
Talking from my experience, maana mimi ni mdau mkubwa wa hii kitu:

Hakikisha kabla ya kunywa pombe kali uwe umepata msosi wa kueleweka, then uwe na utaratibu wa kunywa maji mengi hasa unapoamka asubuhi.

NB: Usihofu hiyo ni hali ya kawaida, itaacha yenyewe baada ya muda.

ANGALIZO: Usinywe pombe kali kama ishu ya msosi kwako ni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…