Talking from my experience, maana mimi ni mdau mkubwa wa hii kitu:
Hakikisha kabla ya kunywa pombe kali uwe umepata msosi wa kueleweka, then uwe na utaratibu wa kunywa maji mengi hasa unapoamka asubuhi.
NB: Usihofu hiyo ni hali ya kawaida, itaacha yenyewe baada ya muda.
ANGALIZO: Usinywe pombe kali kama ishu ya msosi kwako ni tatizo.