Habari wajf mm nmehitimu chuo july wakati naendelea kutafuta kazi nataka nijikite kwenye kilimo kuna shamba maeneo ya malela ningependa kuuliza ni mazao gani yatakayofaa kuanzia na ambayo yataweza kunitoa.ahsanteni
Kwa malela better ulime matikiti but Yale ya green and white Mbegu tumia f1 me mwenyewe nnafanya hcho kilimo hukohuko malela mbele ya Vianzi...kila la kher mkuu