Msaada: Nilisimamishwa kazini na kuambiwa nitaitwa, zimepita siku 6 na sijui hatma yangu

baba na baba

Member
Joined
May 31, 2024
Posts
27
Reaction score
33
Nilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa.

Zimepita siku nyingi sijaitwa na Wala sijui hatima yangu nini hadi sasa, je kisheria inatakiwa nikae siku ngapi Ili kesi yangu isikilizwe ?
 
Wee Ni mpuumbavu sna unachezea kazi eti nimekaa siku sita bila ruhusa mm Ningekuwa he nakufungulia mashatak ulipe fidia ,

Chezeq mshahara usichezee kazi
Zingatia hii itakusaidia
1: Usitoe maoni kwenye kitu usicho kijua.
2: Usikulupuke kipindi unaamua kufany jambo
3: Uliza sababu iliyopelekea kushindwa kutoa taarifa kazini alafu ndio uniite (mpumbavu)
 
Either way you have to be responsible for your absence and negligence.
Hakuna sababu ya kushindwa kutumia njia yoyote ile kutoa taarifa nini kimekukuta unlesss you were hospitalized and unconscious.
Hata ingekuwa upo mahabusu jela.
Siku 6 ni nyingi mno mkuu.
 
Ni vema mwanzo kabisa kwenye uzi ungeweka taarifa zote.Ungeondoa maswali na mawaa mengine.Mara nyingine zingatia hayo.
 
Sikujua Hilo Asante Kwa kunifahamisha 👋
 
Nilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa.

Zimepita siku nyingi sijaitwa na Wala sijui hatima yangu nini hadi sasa, je kisheria inatakiwa nikae siku ngapi Ili kesi yangu isikilizwe ?
Pole sana kwa changamoto iliyokusibu,kabla ya kujua sababu iliyokufanya ukae nyumbani ni ipi naomna kuuuliza kuwa ulipoambiwa urudi nyumbani utaitwa je ulipewa taarifa kwa mdomo au maandishi?nakushauri Jumatatu uingie kazini kama kawaida na kama itawezekana usaini attendance kuonyesha uliingia akzini pamoja na muda uliotoka,sababu si sheria kwa mfanyakazi kubaki nyumbani baada ya kuandika maelezo juu ya utoro kazini bali huwa anaendelea na kazi huku taratibu zingine zikiendelea,vinginevyo labda ulikuwa ukishutumiwa wa makosa mengine zaidi(Uzembe uliokithiri na kusababisha hasara kwa kampuni)ambayo inahitaji uchunguzi kufanyika kubaini uzembe husika huku ukiwa nyumbani,japo kuwa pia huwa inaambatana na barua na sababu za wewe kubaki nyumbani huku ukiwa unaendelea kupokea mshahara kama kawaida.
 
Nchi ina ujinga mwingi Sana hii.

Ulikaa siku sita bila kufika kazini wala kutoa taarifa,, maana yake ulishaidharau kazi hiyo na ukajiona Una namna nyingi za kuishi bila hiyo kazi.

Wewe unapaswa kufukuzwa kazi mara moja .
 
Nilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa.

Zimepita siku nyingi sijaitwa na Wala sijui hatima yangu nini hadi sasa, je kisheria inatakiwa nikae siku ngapi Ili kesi yangu isikilizwe ?
Pia ni vyema kutoa maelezo ya kina juu ya tatizo lako ili upate ushauri wa moja kwa moja ili uweze kutatua tatizo linalo kukabili
 
Nilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa.

Zimepita siku nyingi sijaitwa na Wala sijui hatima yangu nini hadi sasa, je kisheria inatakiwa nikae siku ngapi Ili kesi yangu isikilizwe ?
Kisheria kaa miaka kumi ndio kesi yako jtasikilizwa
Cc: ephen_
 
Pole sana kwa changamoto iliyokusibu,kabla ya kujua sababu iliyokufanya ukae nyumbani ni ipi naomna kuuuliza kuwa ulipoambiwa urudi nyumbani utaitwa je ulipewa taarifa kwa mdomo au maandishi?nakushauri Jumatatu uingie kazini kama kawaida na kama itawezekana usaini attendance kuonyesha uliingia akzini pamoja na muda uliotoka,sababu si sheria kwa mfanyakazi kubaki nyumbani baada ya kuandika maelezo juu ya utoro kazini bali huwa anaendelea na kazi huku taratibu zingine zikiendelea,vinginevyo labda ulikuwa ukishutumiwa wa makosa mengine zaidi(Uzembe uliokithiri na kusababisha hasara kwa kampuni)ambayo inahitaji uchunguzi kufanyika kubaini uzembe husika huku ukiwa nyumbani,japo kuwa pia huwa inaambatana na barua na sababu za wewe kubaki nyumbani huku ukiwa unaendelea kupokea mshahara kama kawaida.
Kabla ya yote ingekuwa vema kufahamu ajira yake alipewa mkataba akasaini au ni zile ajira za kuitwa kazini unaanza kazi maisha yana endelea.
 
Back
Top Bottom