Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Nashauri ufuatilie ujue nini kinaendelea
Kwa vyovyote itakavyokuwa,inatakiwa huitwe na mwajiri wako pamoja na shahidi utakaye mchagua wewe,kikao kiwe na watu wasiopungua watatu
Hapo unatakiwa usikilizwe kwa shida iliyokupata,na kuwe na taarifa za kikao mlichokaa,na nakala uwe nayo
Then waajir wako wanatakiwa kukuita tena kukupa mrejesho ima wanakuachisha au kukurudisha kazini,,hatua hizi zisipo fuatwa zitakupa unafuu katika baraza la usuluhishi
Lakini kisheria kuacha kwenda kazini zaidi ya siku sita bila taarifa yoyote huwa kama umejifukuzisha kazi,,lkn kama ulivyosema lazima usikilizwe