baba na baba
Member
- May 31, 2024
- 27
- 33
Zingatia hii itakusaidiaWee Ni mpuumbavu sna unachezea kazi eti nimekaa siku sita bila ruhusa mm Ningekuwa he nakufungulia mashatak ulipe fidia ,
Chezeq mshahara usichezee kazi
Either way you have to be responsible for your absence and negligence.Zingatia hii itakusaidia
1: Usitoe maoni kwenye kitu usicho kijua.
2: Usikulupuke kipindi unaamua kufany jambo
3: Uliza sababu iliyopelekea kushindwa kutoa taarifa kazini alafu ndio uniite (mpumbavu)
Imeandikwa mtu hato ishi Kwa mkate Bali neno litokalo Kwa baba
Ni vema mwanzo kabisa kwenye uzi ungeweka taarifa zote.Ungeondoa maswali na mawaa mengine.Mara nyingine zingatia hayo.Zingatia hii itakusaidia
1: Usitoe maoni kwenye kitu usicho kijua.
2: Usikulupuke kipindi unaamua kufany jambo
3: Uliza sababu iliyopelekea kushindwa kutoa taarifa kazini alafu ndio uniite (mpumbavu)
LOSERS.Unaomba ushauri wa loosers wasio na kazi. Huoni majibu yao yalivyo na chuki?
Either way you have to be responsible for your absence and negligence.
Hakuna sababu ya kushindwa kutumia njia yoyote ile kutoa taarifa nini kimekukuta unlesss you were hospitalized and unconscious.
Hata ingekuwa upo mahabusu jela.
Siku 6 ni nyingi mno mkuu.
Ni vema mwanzo kabisa kwenye uzi ungeweka taarifa zote.Ungeondoa maswali na mawaa mengine.Mara nyingine zingatia hayo.
Sikujua Hilo Asante Kwa kunifahamisha 👋Ni vema mwanzo kabisa kwenye uzi ungeweka taarifa zote.Ungeondoa maswali na mawaa mengine.Mara nyingine zingatia hayo.
Pole sana kwa changamoto iliyokusibu,kabla ya kujua sababu iliyokufanya ukae nyumbani ni ipi naomna kuuuliza kuwa ulipoambiwa urudi nyumbani utaitwa je ulipewa taarifa kwa mdomo au maandishi?nakushauri Jumatatu uingie kazini kama kawaida na kama itawezekana usaini attendance kuonyesha uliingia akzini pamoja na muda uliotoka,sababu si sheria kwa mfanyakazi kubaki nyumbani baada ya kuandika maelezo juu ya utoro kazini bali huwa anaendelea na kazi huku taratibu zingine zikiendelea,vinginevyo labda ulikuwa ukishutumiwa wa makosa mengine zaidi(Uzembe uliokithiri na kusababisha hasara kwa kampuni)ambayo inahitaji uchunguzi kufanyika kubaini uzembe husika huku ukiwa nyumbani,japo kuwa pia huwa inaambatana na barua na sababu za wewe kubaki nyumbani huku ukiwa unaendelea kupokea mshahara kama kawaida.Nilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa.
Zimepita siku nyingi sijaitwa na Wala sijui hatima yangu nini hadi sasa, je kisheria inatakiwa nikae siku ngapi Ili kesi yangu isikilizwe ?
Pia ni vyema kutoa maelezo ya kina juu ya tatizo lako ili upate ushauri wa moja kwa moja ili uweze kutatua tatizo linalo kukabiliNilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa.
Zimepita siku nyingi sijaitwa na Wala sijui hatima yangu nini hadi sasa, je kisheria inatakiwa nikae siku ngapi Ili kesi yangu isikilizwe ?
Kisheria kaa miaka kumi ndio kesi yako jtasikilizwaNilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa.
Zimepita siku nyingi sijaitwa na Wala sijui hatima yangu nini hadi sasa, je kisheria inatakiwa nikae siku ngapi Ili kesi yangu isikilizwe ?
Kabla ya yote ingekuwa vema kufahamu ajira yake alipewa mkataba akasaini au ni zile ajira za kuitwa kazini unaanza kazi maisha yana endelea.Pole sana kwa changamoto iliyokusibu,kabla ya kujua sababu iliyokufanya ukae nyumbani ni ipi naomna kuuuliza kuwa ulipoambiwa urudi nyumbani utaitwa je ulipewa taarifa kwa mdomo au maandishi?nakushauri Jumatatu uingie kazini kama kawaida na kama itawezekana usaini attendance kuonyesha uliingia akzini pamoja na muda uliotoka,sababu si sheria kwa mfanyakazi kubaki nyumbani baada ya kuandika maelezo juu ya utoro kazini bali huwa anaendelea na kazi huku taratibu zingine zikiendelea,vinginevyo labda ulikuwa ukishutumiwa wa makosa mengine zaidi(Uzembe uliokithiri na kusababisha hasara kwa kampuni)ambayo inahitaji uchunguzi kufanyika kubaini uzembe husika huku ukiwa nyumbani,japo kuwa pia huwa inaambatana na barua na sababu za wewe kubaki nyumbani huku ukiwa unaendelea kupokea mshahara kama kawaida.