Msaada: Nilisimamishwa kazini na kuambiwa nitaitwa, zimepita siku 6 na sijui hatma yangu

Nashauri ufuatilie ujue nini kinaendelea

Kwa vyovyote itakavyokuwa,inatakiwa huitwe na mwajiri wako pamoja na shahidi utakaye mchagua wewe,kikao kiwe na watu wasiopungua watatu

Hapo unatakiwa usikilizwe kwa shida iliyokupata,na kuwe na taarifa za kikao mlichokaa,na nakala uwe nayo

Then waajir wako wanatakiwa kukuita tena kukupa mrejesho ima wanakuachisha au kukurudisha kazini,,hatua hizi zisipo fuatwa zitakupa unafuu katika baraza la usuluhishi

Lakini kisheria kuacha kwenda kazini zaidi ya siku sita bila taarifa yoyote huwa kama umejifukuzisha kazi,,lkn kama ulivyosema lazima usikilizwe
 
Mjaze ujinga
 
Kwa mashirika na makampuni binafsi huwa ni siku tatu usipoonekana kazini bila taarifa ushajifukuzisha tayar

Lkn kwa serikali ni shamba la bibi hakueleweki
 
Kabla ya yote ingekuwa vema kufahamu ajira yake alipewa mkataba akasaini au ni zile ajira za kuitwa kazini unaanza kazi maisha yana endelea.
Kisheria kuna mikataba ya aina mbili,,mkataba wa mdomo na maandishi

Mfanyakazi akifanya kazi kwako siku sita mfululizo ujue huyo anatambulika kuwa ni mfanyakazi wako period
 
Hujaeleza sababu za kutotoa taarifa, ulilazwa Hospital, uliwekwa mahabusu au ulipata msiba? Kama uliamua kutokwenda kazini na hukutoa taarifa kwa siku sita umelala ndani basi unastahili kufukuzwa kazi
 
 
Watakuita tu huwezi fukuzwa kimya kimya
 
Reactions: Tsh
Subiri uone kama mshahara utaingia, usipoingia jiongeze, ukiingia subiri maelekezo.
 
Nafikiri standing order iko wazi, hujafika kazini sk 5 mfululizo bila taarifa wala ruhusa umejifukujiza kazi.
 
Kabla ya yote ingekuwa vema kufahamu ajira yake alipewa mkataba akasaini au ni zile ajira za kuitwa kazini unaanza kazi maisha yana endelea.
Uko sahihi,lakini haijalishi aina ya Mkataba aliona maana Haki,wajibu pamoja na Tartibu zote za kazi zinapaswa kufuatwa bila kuangalia Mkataba ni wa maandishi au mdomo,Muhimu tu ameshamaliza kufanya kazi na Mwajiri kwa Zaidi ya siku 6
 
Case ngumu kama kuvunja mkataba ni wewe umeshavunja kwa kutofika bila taarifa,

Kutofika sio kosa , shida haukutoa taarifa ingawa hatujui kilichofanya isitoe taarifa lakini kisheria taarifa ni lazima na usipotoa inahesabika kuvunja makubaliano(mkataba).

Maswala ya kisheria unaweza kutafuta mawakili wakushauri ila hapo aggregate 2-0
 
Pole sanaa aiseee, duuu! Na hali jinsi ilivyo nimejisikia huruma sana.
 
Zingatia hii itakusaidia
1: Usitoe maoni kwenye kitu usicho kijua.
2: Usikulupuke kipindi unaamua kufany jambo
3: Uliza sababu iliyopelekea kushindwa kutoa taarifa kazini alafu ndio uniite (mpumbavu)
Waw! Kwa hiki ulichoandika hapo πŸ‘† πŸ‘† πŸ‘† Kumbe wewe una akili nzuri na hekima. Sasa Unashindwaje kujikwamua unakuja huku kutu-enjoy siyo?
Ni hakika kweli ww sio mpumbavu.
 
Endelea kudeka.Wewe upo nje ya kazi siku 6 halafu unataka shauri lako lishughulikiwe haraka kwa uzembe uliofanya?Maajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…