likandambwa
Member
- Sep 16, 2015
- 18
- 0
- Thread starter
-
- #41
any misconduct should be well explained if an employee is to be expeled,
japo kama umeajiriwa serikali kuu ni eneo ambalo linahitaji sana ufwate baadhi ya professionals codes of conduct maana ni sehemu nyeti na uwe na uwezo mzuri wakutenda kazi.
je hujawahi toa siri za ofisi?
wewe ni mlevi?
umepokea rushwa?
vipi kuhusu mahusiano yako ya mapenzi na kazi, angalia vizuri kuna mahali umeingilia anga za boss au msimamizi wako kwakujitia ujuaji akaona usiwe nuksi,
hapo na wewe hakikisha umepita sheria katika mkataba waho na umhoji kwa barua kuwa hajaainisha kosa lako
Mkuu sjaelezwa missconduct gan
Na wala hakuna kaz ambyo skuwahi kuitekeleza labda ktk kipindi nilichovunjika mkono wa kulia
Mkuu mimi syo mi syo mlevi though bia nakunywa lakn ni mara chache tena kwa mda wangu binafsi na sehemu maalum
Kuhusu mapenz bahat mby ht mpz wang hayupo mkoa naofanyia kaz na ht sjawah kuwa na mahusiano ya mapenz na mfanyakaz mwenzangu na wala mtu yeyote ktk kituo cha kaz
Kuhusu kuingilia mambo ya msimamiz sidhan km inawezekana coz kila mtu ana majukumu yake INGAWA NI KWELI KUWA TANGU NIANZE KAZI MSIMAMIZI WANGU HAKUWA NA USHURIKIANO MZURI NA MIMI LAKN NILISONGA MBELE NA KUENDELEA KUTEKELEZA KILICHONIPELEKA BILA KUJALI ANANIAJALI AU HANIJALI
Kuhusu kutoa siri dahh sidhan ht km niliwahi kuwa na jambo lolote la siri la serikali maana kaz yenyewe ndo kwa nilikuwa nimetimiza miez saba
Kuhusu rushwa mkuu wengne ss tangu tuzaliwe hatujui ht hyo rushwa inatolewaje na wala nature ya kaz hairuhusu rushwa