Msaada: Nimeachishwa kazi

Msaada: Nimeachishwa kazi

any misconduct should be well explained if an employee is to be expeled,

japo kama umeajiriwa serikali kuu ni eneo ambalo linahitaji sana ufwate baadhi ya professionals codes of conduct maana ni sehemu nyeti na uwe na uwezo mzuri wakutenda kazi.

je hujawahi toa siri za ofisi?
wewe ni mlevi?
umepokea rushwa?
vipi kuhusu mahusiano yako ya mapenzi na kazi, angalia vizuri kuna mahali umeingilia anga za boss au msimamizi wako kwakujitia ujuaji akaona usiwe nuksi,
hapo na wewe hakikisha umepita sheria katika mkataba waho na umhoji kwa barua kuwa hajaainisha kosa lako

Mkuu sjaelezwa missconduct gan

Na wala hakuna kaz ambyo skuwahi kuitekeleza labda ktk kipindi nilichovunjika mkono wa kulia

Mkuu mimi syo mi syo mlevi though bia nakunywa lakn ni mara chache tena kwa mda wangu binafsi na sehemu maalum

Kuhusu mapenz bahat mby ht mpz wang hayupo mkoa naofanyia kaz na ht sjawah kuwa na mahusiano ya mapenz na mfanyakaz mwenzangu na wala mtu yeyote ktk kituo cha kaz

Kuhusu kuingilia mambo ya msimamiz sidhan km inawezekana coz kila mtu ana majukumu yake INGAWA NI KWELI KUWA TANGU NIANZE KAZI MSIMAMIZI WANGU HAKUWA NA USHURIKIANO MZURI NA MIMI LAKN NILISONGA MBELE NA KUENDELEA KUTEKELEZA KILICHONIPELEKA BILA KUJALI ANANIAJALI AU HANIJALI

Kuhusu kutoa siri dahh sidhan ht km niliwahi kuwa na jambo lolote la siri la serikali maana kaz yenyewe ndo kwa nilikuwa nimetimiza miez saba

Kuhusu rushwa mkuu wengne ss tangu tuzaliwe hatujui ht hyo rushwa inatolewaje na wala nature ya kaz hairuhusu rushwa
 
Je nichukue hatua gan? Maelezo niliyotoa ni ukweli mtupu na sina sababu ya kuficha

mkuu hapo unatakiwa ukafungue tume ya usuluhishi ambapo kama ulifukuzwa bila kufuatwa kwa taratibu basi unatakiwa upate remedies/fidia zifuatazo
1.kiinua mgongo
2.mishahara yako yote ambayo ulikuwa umesimamaishwa
3.mishaharay miezi12 ya usumbufu
4.mishahara mingineya miezi 12
hela ya likizo kama hukuchukua likizo
5.hela ya aul mpaka sehemu uliyoajiliwa(area of recruitment)
nafidia nyngne Mahakama itakayoa inafa
 
Pole sana mkuu. Makampuni yanatofautiana na sio kila kosa lazima upewe onyo, kuna baadhi ya makosa ukifanya adhabu yake ni kuachishwa kazi japo hilo inabidi liwepo na liwe wazi kwenye mkataba wako wa kazi au kanuni na taratibu za mwenendo wa wafanyakazi wa hiyo kampuni.

Kama haujafanya kosa linaloangukia kwenye hayo yaliyoainishwa ambayo yatakufanya upoteze kazi, unaweza kuanza kutafuta wanasheria kwa msaada zaidi. Kwa kipindi cha miezi 7 kosa pekee ambalo lingekupotezea kazi ni utendaji wa kazi kwa sababu ulikua bado upo kwenye probation, na hapo ungeitwa nakuelezwa ni wapi uongeze bidii ili kuboresha utendaji wako.

Hapana, haiendi hivyo. Sheria ya kazi ya mwaka 2004 pamoja na Code of Good Practise ya 2007 imeanisha taratibu zote za mtu kuachishwa kazi regardless na kosa ambalo atakuwa amefanya. Termination of employment has to be fair na mwajiri anapaswa kumpa mwajiriwa nafasi ya kujitetea kama kutakuwa na uvunjifu wa kanuni/taratibu za kazi mbele ya kamati ya nidhamu; yote yanapoisha mwajiri pia anatakiwa ajiridhishe kabisa kwamba kosa lilifanyika adhabu stahili nu kusitishwa kwa ajira.

Hatuna "Summary Dismissal" hapa Tanzania.
 
''...dismissal for serious misconduct'' Hicho ni kipengere kwenye mkataba wa mtu anayefanya kazi Tanzania. Ndio maana nikaeleza inategemea kampuni na kampuni japo mhusika alikuja kuweka sawa kwamba yuko serikalini.
 
Hapana, haiendi hivyo. Sheria ya kazi ya mwaka 2004 pamoja na Code of Good Practise ya 2007 imeanisha taratibu zote za mtu kuachishwa kazi regardless na kosa ambalo atakuwa amefanya. Termination of employment has to be fair na mwajiri anapaswa kumpa mwajiriwa nafasi ya kujitetea kama kutakuwa na uvunjifu wa kanuni/taratibu za kazi mbele ya kamati ya nidhamu; yote yanapoisha mwajiri pia anatakiwa ajiridhishe kabisa kwamba kosa lilifanyika adhabu stahili nu kusitishwa kwa ajira.

Hatuna "Summary Dismissal" hapa Tanzania.

Hata mi imenishangaza hii mkuu summary dismissal

Ingawa ni kweli kwamba mwajiri anayo mamlaka ya kumwachisha mtumishi kaz at any time lakn lakn lakn lazma kuwe na sababu za kweli na kisheria

Sasa mimi nimeambiwa tu kuwa nimekiuka maadili lakn kila nikiomba kuambiwa maadili gan nimekiuka wanakataa kunambia

Hapa ni wazi kuwa kuna mchezo umefanyika kwa lengo la kukomoa au kuifanya nafas iwe wazi ili kumpachika mtu

Maana hata onyo sijawahi kupewa iwe kwa maandishi au hata kwa mdomo
MBAYA ZAIDI NAJIAMIN KUWA KTK KIPINDI CHOTE KAZN SIJAWAHI KUFANYA KOSA LOLOTE WALA KUSHINDWA KUFANYA KAZ YOYOTE ILE
 
swala lako linahitaji msaada wa mwanasheria.peke yako huwezi.una madai ya msingi,unapaswa kurudishwa kazini.unatakiwa ukipata mwamasheria awaandikie barua.process itahitaji mpitia wizara ya kazi kitengo cha mediation&abitration kitakuchukulia mda.so jipange lkn naona haki yako ipo.utalipwa hela za kusafirisha mizigo.kufidiwa saikolojiko na udhalilishaji uliofanyiwa.hukupewa nafasi ya kujitetea kabisa!
 
Back
Top Bottom