Msaada, nimeandika kazi lakini haionekani

Msaada, nimeandika kazi lakini haionekani

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Habari wakuu. Natumia app ya writer plus kuandika kazi zangu. Sasa kuna kazi nimeandika haionekani lakini inasoma kama ipo vile. Ili kuwa jazi ya maneno 5,000. Na characters kama 35000. Inasoma charachers lakini haionekani.

Nikiifungua kwenye microsoft wird inatoa vibox .

Inaonekana kama picha hapa chini. Naomba msaada kama naweza kuirudisha maana kuanza kuandika tena ni kazi kubwa.

Screenshot_20210423-120407.png
Screenshot_20210423-120449.png
 
Kwenye computer hiyo kazi ina extension gani?

Mfano extension ni .doc au .pdf?

Kwenye simu ambapo ipo ila haionekani jaribu kudownload app nyingine kisha cheki kuona kama huko inaonekana.
 
Kwenye computer hiyo kazi ina extension gani?

Mfano extension ni .doc au .pdf?

Kwenye simu ambapo ipo ila haionekani jaribu kudownload app nyingine kisha cheki kuona kama huko inaonekana.
Nimeiandika kwenye simu kupitia app ya Writer plus. Huko ndiyo haionekani kama kwenye picha ya pili. Nikifungua kupitia microsoft word(kwenye simu) inaonyesha vibox
 
Nimeiandika kwenye simu kupitia app ya Writer plus. Huko ndiyo haionekani kama kwenye picha ya pili. Nikifungua kupitia microsoft word(kwenye simu) inaonyesha vibox
Chief nilichokuuliza chote hata haujakijibu.
 
Nafikiri niseme ni word ila siyo kwenye pc ni kwenye simu.
Document yako ina jina tuassume jina la document ni Uvuvi Kigogo.

Hii document ili iwe determined ni aina gani hua inaangaliwa extension so mfano ni PDF itakua na jina Uvuvi Kigogo.pdf.

Kama ni word itakua na jina Uvuvi Kigogo.doc

Kama ni excel itakua Uvuvi Kigogo.xlsx

Ndiyo maana nimeuliza extension yake ili tuanze kudeduce kwanini kwenye PC itokee viboksi.

Njia rahisi fanya kama unarename hiyo document mwishoni kabisa utaona extension yake.

Now fanya hivi;

Kwakua kwenye simu inaonekana.

Ingia online search hivi 'word to pdf'

Zitakuja sites mbalimbali zinazoweza kufanya hiyo kazi ambazo hazina mushkeli ni sodapdf, smallpdf yaani zile za mwanzoni.

Ingia katika site mojawapo. Utaelekezwa pa kuiweka doc yako. Convert hiyo doc kwenda kwenye pdf.

Idownload.

Iweke kwenye PC cheki kama inaonekana. Kama unaiona, basi copy hiyo doc nzima na ipaste kwenye word.

Hapa utakua na kazi ya kuhariri hapa na pale. Ni bora kuliko kubaki na viboksi.
 
Back
Top Bottom