Msaada: nimechanjwa chale kwenye makalio

hii ki2 ya kuchanjwa chale ishanikuta miaka ya nyuma huko kigamboni, nilichanjwa kwenye sikio na badae kwenye paji la uso!!!!!!!!!!!

Duh! Kazi kweli kweli! Na wewe pole sana.
 
Duh, pole mkuu! Naomba nikuulize Je, huyo mdogo wake mkeo ni wa damu (baba na mama moja)? Na pia ni jinsia gani? Kama ni wa kike, mhh.....kaa chini utafakari! Changanya za kuambiwa na zako. Kama shemu we2 anaamin huyo ndg yake ni mchawi maanake ni nini?maanake naye yumo humo.
 
Pole wee! Maeneo aliyochanja ni hatari sana, Shukuru Mungu aliishia kukuchanja
 
Ha haa nafikiri wife kashakuwekea tego ole wako uende pembeni lazimaa unase... kwi kwi
 

Sio tumbo moja!! Ni mdogo wa kiume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…