Mbona izee tu, wewe Anza kwa kumsalimia mfano, mambo mrembo, halafu unamuambia Mimi naitwa flani ningependa kufahamu jina lako au unamuambia naomba pia nami nikufahamu,wakati unachezanae hivo hakikisha macho unamuangalia usoni na anapojibu unakwepesha macho kidogo ili asijisikie aibu kujibu. Baada ya hapo unaweza endelea na story nyingine...