slimdaddy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 531
- 481
mbav zanguKijana unayebalehe kwenye ubora wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbav zanguKijana unayebalehe kwenye ubora wako
MmmMbona izee tu, wewe Anza kwa kumsalimia mfano, mambo mrembo, halafu unamuambia Mimi naitwa flani ningependa kufahamu jina lako au unamuambia naomba pia nami nikufahamu,wakati unachezanae hivo hakikisha macho unamuangalia usoni na anapojibu unakwepesha macho kidogo ili asijisikie aibu kujibu. Baada ya hapo unaweza endelea na story nyingine...