Msaada: Nimefungiwa account yangu ya X(zamani twitter)

Msaada: Nimefungiwa account yangu ya X(zamani twitter)

Geok

Senior Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
164
Reaction score
420
Habari wadau. Naombeni mwenye anajua namna kuirudisha account ya Twitter ifanye kazi anisaidie wadau.
Account yangu imefungwa ina wiki moja na siku kadhaa sasa. Imekuwa- suspended, nimefwata procedure zao za ku-unlock kwenye account ya X, naona wananizengua tu. Kama kuna mdau yoyote anayejua procedure yoyote namna ya kuirudisha account naomba anisaidie. Maana ilikuwa ni account ya biashara pia.
 
Na X ilivyo na uhuru bado umefungiwa? Tuambie ulikuwa unapost contents za aina gani.
 
X wangu mwa J amenigongea nanda alfajiriii mbwa yule...☹️
 
Back
Top Bottom