Habari wadau. Naombeni mwenye anajua namna kuirudisha account ya Twitter ifanye kazi anisaidie wadau.
Account yangu imefungwa ina wiki moja na siku kadhaa sasa. Imekuwa- suspended, nimefwata procedure zao za ku-unlock kwenye account ya X, naona wananizengua tu. Kama kuna mdau yoyote anayejua procedure yoyote namna ya kuirudisha account naomba anisaidie. Maana ilikuwa ni account ya biashara pia.