Msaada: Nimefungiwa WhatsApp

Msaada: Nimefungiwa WhatsApp

Nyie ndo mnawaingiza Watu kwenye Ma group ya ajabu, waki left mnawaingiza tena bila idhini yao!

Wenzenu sasa wanawa report na Ushahidi.
 
Yangu inagoma
 
Imenibidi nikimbilie kuangalia kama namimi nina Whatsapp official yasije yakanikuta
 
Dah mm kunitoa gb whatsap mpaka ulete greda. Walishanipiga ban mara 3 zote nikapangua
 
Wakikupiga ban kabla mda wao wa ban haujaisha futa application na udownload upya then endelea. Pia usifanye update, ya gb whatsap ikiisha mda futa udownload mpya
 
Back
Top Bottom