Cosmasjulius
JF-Expert Member
- May 22, 2018
- 695
- 1,011
Aiseee ila me simu yangu ile kila ukiwasha location lazima ijiwasheeee... Polisi mpunga kama sh ngapi!!Find my device haifanyi kazi Kama akizima location. Anaweza akaifactory reset Simu ikawa ndo basi tena. Solution ni Polisi ila andaa mpunga.
Hakuna simu inaitwa android....
Nunua mpya maana data zako zitakuwa zishafutwa zamani sana... pia wezi wa simu siku hizi hawaziuzi Bongo wanapeleka Nairobi na za Nairobi zaletwa Tz.. au wanazichinja