Msaada NIMEIBIWA SIMU

Msaada NIMEIBIWA SIMU

Cosmasjulius

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Posts
695
Reaction score
1,011
Habari za muda huu wakuu..! Juzi maeneo flani niliibiwa simu sasa nimejaribu kutumia app ya FIND MY DEVICE naona inakuwa ngumu kuitrace simu yangu. Nina IMEI namba tu sina risiti je nikienda polisi kitengo cha Cyber crime naweza saidiwa kuipata??? Simu ni Android.
 
Find my device haifanyi kazi Kama akizima location. Anaweza akaifactory reset Simu ikawa ndo basi tena. Solution ni Polisi ila andaa mpunga.
 
Find my device haifanyi kazi Kama akizima location. Anaweza akaifactory reset Simu ikawa ndo basi tena. Solution ni Polisi ila andaa mpunga.
Aiseee ila me simu yangu ile kila ukiwasha location lazima ijiwasheeee... Polisi mpunga kama sh ngapi!!
 
Hakuna simu inaitwa android....

Nunua mpya maana data zako zitakuwa zishafutwa zamani sana... pia wezi wa simu siku hizi hawaziuzi Bongo wanapeleka Nairobi na za Nairobi zaletwa Tz.. au wanazichinja
 
Duuh msala huu
Hakuna simu inaitwa android....

Nunua mpya maana data zako zitakuwa zishafutwa zamani sana... pia wezi wa simu siku hizi hawaziuzi Bongo wanapeleka Nairobi na za Nairobi zaletwa Tz.. au wanazichinja
 
Nenda vodashop au tigoshop, kulingana na line uliokua unatumia wanaweza kukusaidia kitu.
 
Back
Top Bottom