Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa hata Email address yake huenda hakumbuki.Kumbuka email yako uliyoitumia. Then nenda sehemu ya forgot password. Andikq hyo email. Hivyo password mpya utaipta kwenye email yako. Enjoy ur interview
Jombaa email naikimbuka ila password ndio kimbembe afu nilifungulia kwenye simu ambayo nilisha uza na Kila nikiingia pale.forget password wananiambia pasword imesha tumwa na simu yenyewe nilisha nywea jamaa ata namba ake Sina kama Kuna namna naweza fanya msaada tafadhaliJamaa hata Email address yake huenda hakumbuki.
....Vitu kama hivi unatakiwa kuwa na note book yako unaandika maana kuna muda unaweza usiingie huko kwa muda mrefu na inakuwa rahisi kusahau.
Walimu jiongezeni.
Kwamba umesahau password yako.. inshu ya simu haigusiani na email yako ndugu.Jombaa email naikimbuka ila password ndio kimbembe afu nilifungulia kwenye simu ambayo nilisha uza na Kila nikiingia pale.forget password wananiambia pasword imesha tumwa na simu yenyewe nilisha nywea jamaa ata namba ake Sina kama Kuna namna naweza fanya msaada tafadhali
Wale wa "do you want to save this pasword" then wanaclick "never"Jaribu kwenda chrome kisha setting kisha password manager unaweza kuta bwana gugo alikutunzia apo
Hahaaa kazi ipo io option mie nimeweka kabisa isave tu manake nina password utitiriWale wa "do you want to save this pasword" then wanaclick "never"