Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

Kwani hill goli moja ulapoiga sasa hivi ukiamka asubuhi VP unakua umedisa au ndo inakua doro imelala
 
Asante kwa taarifa hii muhimu mkuu. Stem cell inauzwa kwenye maduka ya dawa au ntaipataje Chief?
ok kwenye maduka hakuna, ila ukihitaji nitakuelekeza mahali pa kuipata tu
 
Asante sana kwa ushauri mujarabu mkuu na pole pia kwa tatizo lililokupata. Ila hizo goli zako za dk 30 - 45 angalia usije ukafia kifuani kwa mtu. Mm simalizi dakika 5! Nawezaje kufika walau dk 10?
Na ndio maana unafikisha goli 6 kijogoo kitu ambayo mie naona maajabusana. Hapa tatu za mkwezi asiporidhika huyo bibie ujue kakubuhu.
 
Tpaul na mwingine yeyote anayetaka kujua zaidi, kupata na kutumia stem cell, anaweza kuwasiliana nami ili akutane na medical doctor kwa ushauri kwanza ili aweze kutumia kitu anachokijua. Most welcome.
 
Pole kwa tatzo maana_jamvi mwenzetu ila unabidi uende hospital na kuwaona wataalamu wa masuala hayo nadhani watakusaidia na kukufanyia counselling ya kutosha
 
Vp mkuu tayar umeanza kutafuta tiba
 
Kama yepi hayo nielekeze nami nianze
Natumia mchanganyiko wa tangawizi, kitunguu swaumu, mbegu za maboga, habat souda na asali asubuhi na jioni kama nilivyoshauriwa na mkuu Papupi . Pia nakunywa maji ya kutosha pamoja na kufanya mazoezi.
 
Pole sana Mkuu !! Mimi Najua ni Suala la Kisaikolojia zaidi Na sio Nguvu kuisha!! Tumia Muda mwingi kuongea na Mwenzi wako .... Na Mazoezi kwa sana Ili kuweka Mwili Fit

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Natumia mchanganyiko wa tangawizi, kitunguu swaumu, mbegu za maboga, habat souda na asali asubuhi na jioni kama nilivyoshauriwa na mkuu Papupi . Pia nakunywa maji ya kutosha pamoja na kufanya mazoezi.
Vp mkuu unaendeleaje sasa
 
Natumia mchanganyiko wa tangawizi, kitunguu swaumu, mbegu za maboga, habat souda na asali asubuhi na jioni kama nilivyoshauriwa na mkuu Papupi . Pia nakunywa maji ya kutosha pamoja na kufanya mazoezi.
Mkuu vp nguvu zimeanza kurudia au
 
Asante kwa ushauri mkuu. Kubeba vitu naweza ila nguvu za kiume zimeniishia kwa kiwango cha ajabu sana. Vipi nikibadili diet haiwezi kusaidia? Maana nimekuwa nikila wanga kwa wingi lakini bado tatizo lipo.
vipi uliwezaje kumaliza tatizo?
 
Vp mkuu unaendeleaje sasa
Ndugu mkuu na wakuu wengine, nilitumia dawa za hospitali mara nyingi sana lakini sikupata nafuu yoyote. Kuna jamaa mmoja anauza dawa za asili anaitwa Makoba Charles (yupo facebook) alinisaidia dawa ya virutubisho nguvu zangu za kiume zimerudi kama kawaida tena kwa kasi kuliko zamani. Nashauri mtu mwenye shida yoyote ya nguvu za kiume amcheki atakufikishia dawa popote ulipo. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…