Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

Sex inahitaji vitu viwili vikuu,ambavyo ni emotional stability,and physically stability, emotional namaanisha usiwe na negative thought kwamba leo nitaweza kweli???haitakuwa kama siku ile kweli??so ondoa haya na jiamini zaid kwamba we ni chuma cha mjerumani.usisahau mazoez,matunda etc.
 
OLEWA TU sasa
 
ulitumia mda gani kupona?
 
Unaendekezq sana ngono, ndio sababu.

Hata ukiwa na chakula kingi ghalani halafu ukaanza kukitumia hovyo hovyo kitaisha mapema tu


Goli sita kwani ulikuwa unashindania kombe gani?
 
Pole lakin dawa zipo za kunywa miti shamba mingi
 
Mkuu vip ushapona kabisa...na umeponea wapi
Niliponea kwa dokta mmoja wa dawa za asili anaitwa Dr Makoba (0782764109). Ukipata wasaa mcheki akusaidie mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…