Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

Sex inahitaji vitu viwili vikuu,ambavyo ni emotional stability,and physically stability, emotional namaanisha usiwe na negative thought kwamba leo nitaweza kweli???haitakuwa kama siku ile kweli??so ondoa haya na jiamini zaid kwamba we ni chuma cha mjerumani.usisahau mazoez,matunda etc.
 
Oumofia kwenu?

Ili nisiwachoshe, naingia kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 36, naishi Dar es Salaam. Siku za hivi karibuni nimepatwa na tatizo la kuishiwa nguvu za kiume ghafla pasipo sababu za msingi. Zamani nilikuwa na uwezo wa kupiga show ya kibabe hadi nafunga goli 6 au zaidi kwa usiku mmoja. Kuna siku nakumbuka nilipiga show na demu wangu mpaka akawa analia na kulalamika kuwa nimemchubua. Nilidhani katia mpira kwapani lakini nilipomchungulia kwa umakini niliona michubuko mingi kunako eneo husika. Kumbuka tangu zamani mimi huwa nacheza show pekupeku.

Sasa kama nilikuwa na uwezo mkubwa kiasi hiki tatizo langu ni nini? Ni hivi: Sasa hivi naweza kukaa mwezi mzima bila kupiga show halafu nikawa niko vizuri tu. Kabla ya hapo nilikuwa zimalizi wiki 2! Baada ya mwezi mmoja kuna wakati ashki zinakuja kidogo na ikiwa sikupata huduma sometimes napata wet dreams za hapa na pale lakini kila nikipata dream, nikijikagua najikuta niko msafi – chombo hakitemi (kama ilivyokuwa zamani). Nime-experience wet dreams mara 2, tena kwenye dreams napiga show hadi mwisho, cha ajabu hakuna dalili zozote za ‘kuchafuka’!

Hili ni tatizo, tena tatizo kubwa sana. Waswahili walisema “tatizo lisikie kwa mwenzako” sasa naona majanga yamegeukia kwangu. Siku zote nimekuwa nasikia watu wakilalamika kuishiwa nguvu za kiume, nikawa nadhani ni masikhara. Sasa nimeamini kweli kuna kuishiwa nguvu za kiume. Hali hii imenipa wasisi mkubwa sana na kunisababishia mzongo mkubwa wa mawazo, hasa ukizingatia kwamba idadi ya watoto niliotarajia kuzalisha bado haijatimia. Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu. Nifanyeje ili kurudisha nguvu zangu zilizopotea? Naona aibu kwenda kupanga foleni kwa Sangoma katika umri huu. Ni juzi tu mwanaume mmoja aliripotiwa kufariki, wakati akipata tiba kwa mganga ambapo mganga huyo alikuwa akiingiza dawa kupitia kwenye mrija wa uume. Naogopa sana. Ushauri wenu ni muhimu sana wakuu.

Nawasilisha.
OLEWA TU sasa
 
Ndugu mkuu na wakuu wengine, nilitumia dawa za hospitali mara nyingi sana lakini sikupata nafuu yoyote. Kuna jamaa mmoja anauza dawa za asili anaitwa Makoba Charles (yupo facebook) alinisaidia dawa ya virutubisho nguvu zangu za kiume zimerudi kama kawaida tena kwa kasi kuliko zamani. Nashauri mtu mwenye shida yoyote ya nguvu za kiume amcheki atakufikishia dawa popote ulipo. Asante.
ulitumia mda gani kupona?
 
Oumofia kwenu?

Ili nisiwachoshe, naingia kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 36, naishi Dar es Salaam. Siku za hivi karibuni nimepatwa na tatizo la kuishiwa nguvu za kiume ghafla pasipo sababu za msingi. Zamani nilikuwa na uwezo wa kupiga show ya kibabe hadi nafunga goli 6 au zaidi kwa usiku mmoja. Kuna siku nakumbuka nilipiga show na demu wangu mpaka akawa analia na kulalamika kuwa nimemchubua. Nilidhani katia mpira kwapani lakini nilipomchungulia kwa umakini niliona michubuko mingi kunako eneo husika. Kumbuka tangu zamani mimi huwa nacheza show pekupeku.

Sasa kama nilikuwa na uwezo mkubwa kiasi hiki tatizo langu ni nini? Ni hivi: Sasa hivi naweza kukaa mwezi mzima bila kupiga show halafu nikawa niko vizuri tu. Kabla ya hapo nilikuwa zimalizi wiki 2! Baada ya mwezi mmoja kuna wakati ashki zinakuja kidogo na ikiwa sikupata huduma sometimes napata wet dreams za hapa na pale lakini kila nikipata dream, nikijikagua najikuta niko msafi – chombo hakitemi (kama ilivyokuwa zamani). Nime-experience wet dreams mara 2, tena kwenye dreams napiga show hadi mwisho, cha ajabu hakuna dalili zozote za ‘kuchafuka’!

Hili ni tatizo, tena tatizo kubwa sana. Waswahili walisema “tatizo lisikie kwa mwenzako” sasa naona majanga yamegeukia kwangu. Siku zote nimekuwa nasikia watu wakilalamika kuishiwa nguvu za kiume, nikawa nadhani ni masikhara. Sasa nimeamini kweli kuna kuishiwa nguvu za kiume. Hali hii imenipa wasisi mkubwa sana na kunisababishia mzongo mkubwa wa mawazo, hasa ukizingatia kwamba idadi ya watoto niliotarajia kuzalisha bado haijatimia. Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu. Nifanyeje ili kurudisha nguvu zangu zilizopotea? Naona aibu kwenda kupanga foleni kwa Sangoma katika umri huu. Ni juzi tu mwanaume mmoja aliripotiwa kufariki, wakati akipata tiba kwa mganga ambapo mganga huyo alikuwa akiingiza dawa kupitia kwenye mrija wa uume. Naogopa sana. Ushauri wenu ni muhimu sana wakuu.

Nawasilisha.
Unaendekezq sana ngono, ndio sababu.

Hata ukiwa na chakula kingi ghalani halafu ukaanza kukitumia hovyo hovyo kitaisha mapema tu

Goli sita kwani ulikuwa unashindania kombe gani?
 
Pole lakin dawa zipo za kunywa miti shamba mingi
 
Back
Top Bottom