Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

Kwanini unasema ghafla mkuu?
Nasema ghafla kwa kuwa nilitarajia nguvu ziishe taratibu with age. Wewe imagine mwanzo nilikuwa napiga goli 6 mfululizo (na mashine hailegei) lakini sasa nikipiga moja tu, mashine inalala doro.....hadi nipumzike takribani saa nzima ndipo nianze show....tena baada ya kuitikisa mashine sana! Yaani hata babu wa miaka 70 nahisi ananizidi pumzi. Inaniuma sana.
 
mkuu nguvu hazijeisha sema tu speed ya kuzitoa ndo imepungua
 
Sasa mbona performance yangu imeshuka ghafla mkuu?
 
Acha ngono mkuu. Njoo tujenge viwanda
 
mkuu nguvu hazijeisha sema tu speed ya kuzitoa ndo imepungua
Mkuu hata nikijaribu kuzitoa daily napiga kigoli 1 tu, nikitaka kupiga la pili mpaka nitikise mashine kama babu. Halafu hata nikiwa na wet dreams mbegu hazitoki....jambo ambalo si la kawaida kwa mtu mwenye nguvu zake. Hili ni tatizo kubwa sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha kipindi hicho mshedede ulikua ukisimama naupandisha kwa juu kwenye chupi flani zilikua na mpira juu!

Kweli ngoma unakuta imegusa kitovu aisee
 
Asante kwa ushauri kuntu mkuu. Kwa ufupi mm sivuti sigara na sinywi kileo chochote. Najitahidi sana kula vyakula na vinywaji vya asili, na ninaepuka sana vinywaji vyenye kemikali za sumu kama vile soda na juice. Nashangaa kushuka kwa utendaji kazi wangu ghafla hadi mama watoto wangu amenishtukia. Naogopa kugongewa mke na wanaume wengine, ndio maana tangu tatizo hili linikute nalala usingizi wa mang'amung'amu. Inaniuma sana.
 
Hahahaa, mwanamke hata ufanye naye mapenzi hawesilalamika amechubuka. Haujui kusex mkuu, mwandae vizuri alainike kunako njia ili ukipita ukute palaini, sasa wewe unasokomeza tu kidude chako as if unabaka
 
Kabla hujafanya chochote nenda kapime homoni zako,sukari, pressure, moyo. Ukikuta uko fresh, piga tu mazoezi
Nashukuru kwa ushauri wako mkuu. Sasa hapa Dar kuna hospitali inayoweza kupima kiwango cha hormone au mpaka niende Apollo mkuu?
 
Afu goli sita zote za nn. Wewe ni age met wa gu mm huwa ni tatu, ya nne huwa inatoka ama isipatikane kabisa hari mnalowana mwili wote as if mmetoka swimming
 
acha kubeti, zitarudi kwa kasi ya ajabu
Kwani kubet kuna uhusiano na upungufu wa nguvu za kiume au zinatokana na mawazo ya kuchaniwa mikeka mkuu?
 
Hiyo profile pic yako na huu uziwako! Kukosa nguvu za kiume sio km kuwa na Ukimwi, wanaume wengi wanakutakana na matatizo haya na baadae yanaondoka. Km unajichua au unapenda kuangalia picha za ngono huenda ndo ikawa sababu ya tatizo lako. Km huhufanyi mambo hayo basi epukana na vyakula vya mafuta, piga tiz hasa squat na km ni Muislam funga, Funga inasaidia kuongeza nguvu za kiume.
 
Asante kwa ushauri mkuu. Ila wasiwasi wangu ni kule kushuka kwa ghafla maana nilitarajia zipungue kidogo kidogo kadri umri unavyosonga lakini nashangaa mambo yamekuwa tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…