Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha kipindi hicho mshedede ulikua ukisimama naupandisha kwa juu kwenye chupi flani zilikua na mpira juu!

Kweli ngoma unakuta imegusa kitovu aisee
Umeona eeh?
 
Empty set kabisa! Miaka 36 bado una wet dreams?? Kapimwe mkojo mkuu
 
Piga mazoezi mkuu,kula matunda hasa ndizi,tikiti maji n.k...usisahau kegel exercises...punguza kula vyakula vya mafuta sana kama chips badala yake kula vyakula asilia kama ugali wa dona n.k...tatzo likiendelea tumia supu ya pweza..likizd nenda hospital kwa uchunguz zaidi
 
Umeona eeh?
Ndio huwa hivyo mkuu!
We kula vyakula vya asili piga mazoezi kimtindo lala mda wa kutosha halafu punguza idadi ya mechi kwa hicho kipindi unajiangalia ili uje uone km Kuna mabadiliko!


Kingine usijenge hofu pale unapokutana na mwanamke km mashine yangu itapiga kimoja then italala km kawaida!

Relax mkuu
 
Wet dreams nazo zinapima nguvu za kiume mkuu.?? ulifanya reseach au umejipa majibu mwenyewe
Mkuu nimejifanyia research mwenyewe. Ukipata wet dream na kukojoa, inaashiria kwamba hormone zako ziko level; maana ili uweze kukojoa ukiwa usingizini sharti uume uwe imara....huwezi kumwaga ikiwa uume uko legelege na ikiwa hormone haziko sawa, uume hauwezi kusimama barabara. Umeona eeh?
 
Empty set kabisa! Miaka 36 bado una wet dreams?? Kapimwe mkojo mkuu
Mkuu, nakushangaa sana. Wet dreams zinampata mtu wa rika yoyote ikiwa utakaa muda mrefu bila kupiga show. Kwani kwa biology uliyosoma wewe unadhani wet dreams zinakoma katika umri gani mkuu?
 
Mkuu, nakushangaa sana. Wet dreams zinampata mtu wa rika yoyote ikiwa utakaa muda mrefu bila kupiga show. Kwani kwa biology uliyosoma wewe unadhani wet dreams zinakoma katika umri gani mkuu?
Miaka 36 ni umri ambao wanaume wenzako marijali wana wake zao ndani sasa unaposema umekaa mda mrefu bila kupiga show tukueleweje sasa?? Kama umri huo hujaoa pambana na udomo zege wako
 
Ubize na majukumu yanafanya watu wasahau kuwaza mapenzi.
Labda utuambie ukikutana kimwili na mke wako performance inakuwaje?
Mkuu, mwanzoni nikikutana na mke wangu au umchepuko uume ulikuwa unasimama mara moja hata kabla ya kuona 'chakula' chake. Kwa sasa mpaka kwanza mke/mchepuko avue nguo 'chakula' kionekane ndipo uume usimame. Lakini pia nikishapiga bao la kwanza (ambalo halichukui zaidi ya dk 5), uume hulala doro. Nikitaka kupiga bao la pili (baada ya kupumzika kwa takribani saa nzima), lazima nitikse mashine au niingize ikiwa bado legelege ikasimamie humo humo ndani ya chakula chake. Kana kwamba hilo halitoshi, nikianza show ya pili ni nadra sana kumwaga kwa kuwa bao linakuwa gumu sana kutoka...yaani linakuwa kama linachungulia na kurudi...wakati huo mashine yangu na ya mwenzangu zinakuwa zinauma kutokana na friction isiyozaa matunda. Mara nyingi goli la pili simwagi...naishia tu kuvaa nguo na kuondoka. Aibu sana I see! Hapa kuna tatizo sio bure.
 
we jamaa pekee ndio naona umechangia uzi huu kwa ufasaha..hongera aisee
 
Hofu yako tu. Bado upo sawa
 
Kama unapata ndoto nyevu na ndotoni unafika mshindo lakini huoni kitu ukiamka, juu tu unatembea na jini mahaba.
 
kula majani ya maboga mabichi itakusaidia mkuu
 
Pamoja sana mkuu, ushauri huu nitaufanyia kazi kikamilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…