Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio huwa hivyo mkuu!Umeona eeh?
Mkuu nimejifanyia research mwenyewe. Ukipata wet dream na kukojoa, inaashiria kwamba hormone zako ziko level; maana ili uweze kukojoa ukiwa usingizini sharti uume uwe imara....huwezi kumwaga ikiwa uume uko legelege na ikiwa hormone haziko sawa, uume hauwezi kusimama barabara. Umeona eeh?Wet dreams nazo zinapima nguvu za kiume mkuu.?? ulifanya reseach au umejipa majibu mwenyewe
Mkuu, nakushangaa sana. Wet dreams zinampata mtu wa rika yoyote ikiwa utakaa muda mrefu bila kupiga show. Kwani kwa biology uliyosoma wewe unadhani wet dreams zinakoma katika umri gani mkuu?Empty set kabisa! Miaka 36 bado una wet dreams?? Kapimwe mkojo mkuu
Miaka 36 ni umri ambao wanaume wenzako marijali wana wake zao ndani sasa unaposema umekaa mda mrefu bila kupiga show tukueleweje sasa?? Kama umri huo hujaoa pambana na udomo zege wakoMkuu, nakushangaa sana. Wet dreams zinampata mtu wa rika yoyote ikiwa utakaa muda mrefu bila kupiga show. Kwani kwa biology uliyosoma wewe unadhani wet dreams zinakoma katika umri gani mkuu?
😛😛😀😀😀Itabidi aanze na wewe...
Je upo tayari kumkaribisha....
Tpaul yuko na stress za kubet ujue....😛😛😀😀😀
Mkuu, mwanzoni nikikutana na mke wangu au umchepuko uume ulikuwa unasimama mara moja hata kabla ya kuona 'chakula' chake. Kwa sasa mpaka kwanza mke/mchepuko avue nguo 'chakula' kionekane ndipo uume usimame. Lakini pia nikishapiga bao la kwanza (ambalo halichukui zaidi ya dk 5), uume hulala doro. Nikitaka kupiga bao la pili (baada ya kupumzika kwa takribani saa nzima), lazima nitikse mashine au niingize ikiwa bado legelege ikasimamie humo humo ndani ya chakula chake. Kana kwamba hilo halitoshi, nikianza show ya pili ni nadra sana kumwaga kwa kuwa bao linakuwa gumu sana kutoka...yaani linakuwa kama linachungulia na kurudi...wakati huo mashine yangu na ya mwenzangu zinakuwa zinauma kutokana na friction isiyozaa matunda. Mara nyingi goli la pili simwagi...naishia tu kuvaa nguo na kuondoka. Aibu sana I see! Hapa kuna tatizo sio bure.Ubize na majukumu yanafanya watu wasahau kuwaza mapenzi.
Labda utuambie ukikutana kimwili na mke wako performance inakuwaje?
we jamaa pekee ndio naona umechangia uzi huu kwa ufasaha..hongera aiseeHujaishiwa nguvu za kiume mkuu...
Kilichotokea ni kushuka kwa hormone ya kiume inaitwa testosterone.
Hormone hii inakuwa iko juu sana kijana anapoingia miaka kuanzia 18 mpaka 21, lakini wengne huchelewa mpaka wanapogonga 30.
Kwa kawaida inatakiwa hormone hii ishuke mara tu unapofika miaka 30 kwa kiwango cha 1% au 2% kwa mwaka, lakin wengine hushuka kwa haraka sana kwa sababu nyingi mno.
Lazima uangalie lifestyle yako kama inasababisha kushuka kwa hormone hii ikiwemo pombe au stress au sectual motivation au kula vyakula vyenye hormone ya kike kwa wingi inayoitwa estrogen.
Estrogen ni hormone ya kike inayoleta tabia za kike na Testosterone ni ya kiume inajenga mambo ya kiume, kawaida mazingira yana mpambano wa kila siku wa hormone ya kiume na kike, ambapo ya kiume ikizidi unakuwa na tabia nyingi a kiume na maumbile ya kiume kweli kweli, mambo kama kupiga show za kibabe, mambokama kumwaga bao jingi mpaka unajishangaa, mambo kama sauti nzito, mambo kama kuwa rough sana na kutojipenda, mambo kama kujenga misuli ya mwili mambo kama hasira za kupenda ugomvi na mengineyo.
Za kike zikizidi unaanza kujenga mambo ya kike kama kupenda utulivu wa kukaa nyumbani na kuangalia tamthilia za mapenzi asubuhi mpaka jioni, mambo kama kupenda ubuyu, mambo kama kuvimba kwa matiti na kuwa na chuchu za kike wakati wewe mwanaume , mambo kama kupungua kwa ashki za ngono, uume kupungua kusimama nyakati za asubuhi na vitu vingine.
Unatakiwa upambane upate balance ya hormone katika mwili, kwa maana ya kuhakikisha hauli vyakula vyenye kuleta sana hormone ya kike na kupendelea kula vyakula vyenye hormone ya kiume.
Punguza pombe, vyakula vya kukoboa, punguza stress, punguza sigara, punguza kunywa soda sana, punguza kuala masaa machache, punguza sukari kwenye vyakula vyako.
Lakini kumbuka pia kupungua kwa hormone hii ni jambo la kawaida kiafya, tatizo linapokuja ni pale inaposhuka kwa haraka.
Pia kumbuka mwili una hormone zote za kiume na kike.
Hofu yako tu. Bado upo sawaNasema ghafla kwa kuwa nilitarajia nguvu ziishe taratibu with age. Wewe imagine mwanzo nilikuwa napiga goli 6 mfululizo (na mashine hailegei) lakini sasa nikipiga moja tu, mashine inalala doro.....hadi nipumzike takribani saa nzima ndipo nianze show....tena baada ya kuitikisa mashine sana! Yaani hata babu wa miaka 70 nahisi ananizidi pumzi. Inaniuma sana.
et hawezi kunyanyua kikombe kabatiniKuisha nguvu za kiume kukoje asee
Pamoja sana mkuu, ushauri huu nitaufanyia kazi kikamilifu.Piga mazoezi mkuu,kula matunda hasa ndizi,tikiti maji n.k...usisahau kegel exercises...punguza kula vyakula vya mafuta sana kama chips badala yake kula vyakula asilia kama ugali wa dona n.k...tatzo likiendelea tumia supu ya pweza..likizd nenda hospital kwa uchunguz zaidi