Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

Nilichoelewa mimi ni kwamba haumwagi mbegu.....hilo sio tatizo la nguvu za kiume.
 
Nimeishia kwenye goli sita, unapotumia hovyo risasi nyingi ktk bunduki yako unapokuwa uwanja wa vita ujue ndivyo unavyohatarisha maisha yako humkomoi adui. Akili kukichwa, hakuna aliewahi kumkomoa mwanamke kwa kumgegeda, ngono ni starehe fanya kistarabu. Hairuhusiwa chini ya umri wa miaka 18.
 
Idadi ya watoto na nguvu za kiume havihusiani,japo inawezekana spidi ya mbegu kuingia kunakohusika ikawa ndogo zisifike but kua na amani,watoto wapo kwenye mbegu zako..
 
Miaka 36 ni umri ambao wanaume wenzako marijali wana wake zao ndani sasa unaposema umekaa mda mrefu bila kupiga show tukueleweje sasa?? Kama umri huo hujaoa pambana na udomo zege wako
Amekuja kuomba ushauri,usimshambulie!!
 
Kuna shida! Punguza vyakula vya wanga, pendelea asali badala ya sukari! Matunda hasa tikitiki na ukwaju, mazoezi relax
 
Izo zitakua ni stress za kuliwa na mhindi ktk kubeti..punguza kubet mkuu
 
Upo Dar? Kama upo Dar hiyo ni kawaida sana siku hizi kwa hiyo endelea kuchapa kazi. Ungekuwa upo huku kwetu Mwakaleli tungeshangaa sana
 
Asante kwa ushauri mkuu. Kubeba vitu naweza ila nguvu za kiume zimeniishia kwa kiwango cha ajabu sana. Vipi nikibadili diet haiwezi kusaidia? Maana nimekuwa nikila wanga kwa wingi lakini bado tatizo lipo.

Hujaambiwa madhara ya wanga ? ni pamoja na hayo
 
Kifurushi umekitumia kwa fujo, kimeisha, jaribu kununua tena bando la nguvu za kiume halafu utumie kistaarabu safari hii [emoji18]
 
1. acha kunywa pombe ikiwa unakunywa
2. fanya mazoezi ya kukimbia,kuruka kamba,kuogelea na kunyanyua uzito kiasi flan
3. kula chakula kingi chenye protein kama samaki,soya,maziwa,mayai pata ya kuku wa kienyeji,supu ya samaki au nyama na mboga za majani
4. tumia matunda kama parachichi,ndizi ,water melon n.k
5. kula vyakula vyenye nyuzi nyuzi kwa wingi
6. pumzika muda wa kutosha
7. pumzisha akili usiwaze hilo tatizo wazia kuwa tayari umeshapata ufumbuzi yawezekana ni tatizo la kisaokolojia pia.
8. kunywa maji kwa wingi na juice pia
9. acha kuangalia sana video za mikasi
10. acha KUCHEZA POOL nayo si nzuri.

Mkuu GuDume et al naomba mpite pande hizi mnipe ushauri wenu.
 
Pole mkuu! Over use of hiyo kitu is harmful too! Alafu kumchubua mwanamke haimaanishi unagegeda sana, inamaanisha alikua mkavu. Nenda hospitali mapema kama unahofia kwa waganga...
 
Makuu NO 10
Sijaelewa hiyo POOL
Ni pool table au pool chaputa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…