Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idadi ya watoto na nguvu za kiume havihusiani,japo inawezekana spidi ya mbegu kuingia kunakohusika ikawa ndogo zisifike but kua na amani,watoto wapo kwenye mbegu zako..Oumofia kwenu?
Ili nisiwachoshe, naingia kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 36, naishi Dar es Salaam. Siku za hivi karibuni nimepatwa na tatizo la kuishiwa nguvu za kiume ghafla pasipo sababu za msingi. Zamani nilikuwa na uwezo wa kupiga show ya kibabe hadi nafunga goli 6 au zaidi kwa usiku mmoja. Kuna siku nakumbuka nilipiga show na demu wangu mpaka akawa analia na kulalamika kuwa nimemchubua. Nilidhani katia mpira kwapani lakini nilipomchungulia kwa umakini niliona michubuko mingi kunako eneo husika. Kumbuka tangu zamani mimi huwa nacheza show pekupeku.
Sasa kama nilikuwa na uwezo mkubwa kiasi hiki tatizo langu ni nini? Ni hivi: Sasa hivi naweza kukaa mwezi mzima bila kupiga show halafu nikawa niko vizuri tu. Kabla ya hapo nilikuwa zimalizi wiki 2! Baada ya mwezi mmoja kuna wakati ashki zinakuja kidogo na ikiwa sikupata huduma sometimes napata wet dreams za hapa na pale lakini kila nikipata dream, nikijikagua najikuta niko msafi – chombo hakitemi (kama ilivyokuwa zamani). Nime-experience wet dreams mara 2, tena kwenye drems napiga show hadi mwisho, cha ajabu hakuna dalili zozote za ‘kuchafuka’!
Hili ni tatizo, tena tatizo kubwa sana. Waswahili walisema “tatizo lisikie kwa mwenzako” sasa naona majanga yamegeukia kwangu. Siku zote nimekuwa nasikia watu wakilalamika kuishiwa nguvu za kiume, nikawa nadhani ni masikhara. Sasa nimeamini kweli kuna kuishiwa nguvu za kiume. Hali hii imenipa wasisi mkubwa sana na kunisababishia mzongo mkubwa wa mawazo, hasa ukizingatia kwamba idadi ya watoto niliotarajia kuzalisha bado haijatimia. Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu. Nifanyeje ili kurudisha nguvu zangu zilizopotea? Naona aibu kwenda kupanga foleni kwa Sangoma katika umri huu. Ni juzi tu mwanaume mmoja aliripotiwa kufariki, wakati akipata tiba kwa mganga ambapo mganga huyo alikuwa akiingiza dawa kupitia kwenye mrija wa uume. Naogopa sana. Ushauri wenu ni muhimu sana wakuu.
Nawasilisha.
Amekuja kuomba ushauri,usimshambulie!!Miaka 36 ni umri ambao wanaume wenzako marijali wana wake zao ndani sasa unaposema umekaa mda mrefu bila kupiga show tukueleweje sasa?? Kama umri huo hujaoa pambana na udomo zege wako
Kuna shida! Punguza vyakula vya wanga, pendelea asali badala ya sukari! Matunda hasa tikitiki na ukwaju, mazoezi relaxOumofia kwenu?
Ili nisiwachoshe, naingia kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 36, naishi Dar es Salaam. Siku za hivi karibuni nimepatwa na tatizo la kuishiwa nguvu za kiume ghafla pasipo sababu za msingi. Zamani nilikuwa na uwezo wa kupiga show ya kibabe hadi nafunga goli 6 au zaidi kwa usiku mmoja. Kuna siku nakumbuka nilipiga show na demu wangu mpaka akawa analia na kulalamika kuwa nimemchubua. Nilidhani katia mpira kwapani lakini nilipomchungulia kwa umakini niliona michubuko mingi kunako eneo husika. Kumbuka tangu zamani mimi huwa nacheza show pekupeku.
Sasa kama nilikuwa na uwezo mkubwa kiasi hiki tatizo langu ni nini? Ni hivi: Sasa hivi naweza kukaa mwezi mzima bila kupiga show halafu nikawa niko vizuri tu. Kabla ya hapo nilikuwa zimalizi wiki 2! Baada ya mwezi mmoja kuna wakati ashki zinakuja kidogo na ikiwa sikupata huduma sometimes napata wet dreams za hapa na pale lakini kila nikipata dream, nikijikagua najikuta niko msafi – chombo hakitemi (kama ilivyokuwa zamani). Nime-experience wet dreams mara 2, tena kwenye drems napiga show hadi mwisho, cha ajabu hakuna dalili zozote za ‘kuchafuka’!
Hili ni tatizo, tena tatizo kubwa sana. Waswahili walisema “tatizo lisikie kwa mwenzako” sasa naona majanga yamegeukia kwangu. Siku zote nimekuwa nasikia watu wakilalamika kuishiwa nguvu za kiume, nikawa nadhani ni masikhara. Sasa nimeamini kweli kuna kuishiwa nguvu za kiume. Hali hii imenipa wasisi mkubwa sana na kunisababishia mzongo mkubwa wa mawazo, hasa ukizingatia kwamba idadi ya watoto niliotarajia kuzalisha bado haijatimia. Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu. Nifanyeje ili kurudisha nguvu zangu zilizopotea? Naona aibu kwenda kupanga foleni kwa Sangoma katika umri huu. Ni juzi tu mwanaume mmoja aliripotiwa kufariki, wakati akipata tiba kwa mganga ambapo mganga huyo alikuwa akiingiza dawa kupitia kwenye mrija wa uume. Naogopa sana. Ushauri wenu ni muhimu sana wakuu.
Nawasilisha.
Izo zitakua ni stress za kuliwa na mhindi ktk kubeti..punguza kubet mkuuOumofia kwenu?

Mkuu huyo mwanamke ana bwawa!?Nilidhani katia mpira kwapani lakini nilipomchungulia kwa umakini niliona michubuko mingi kunako eneo husika.
Asante kwa ushauri mkuu. Kubeba vitu naweza ila nguvu za kiume zimeniishia kwa kiwango cha ajabu sana. Vipi nikibadili diet haiwezi kusaidia? Maana nimekuwa nikila wanga kwa wingi lakini bado tatizo lipo.
Kifurushi umekitumia kwa fujo, kimeisha, jaribu kununua tena bando la nguvu za kiume halafu utumie kistaarabu safari hii [emoji18]Oumofia kwenu?
Ili nisiwachoshe, naingia kwenye mada moja kwa moja. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 36, naishi Dar es Salaam. Siku za hivi karibuni nimepatwa na tatizo la kuishiwa nguvu za kiume ghafla pasipo sababu za msingi. Zamani nilikuwa na uwezo wa kupiga show ya kibabe hadi nafunga goli 6 au zaidi kwa usiku mmoja. Kuna siku nakumbuka nilipiga show na demu wangu mpaka akawa analia na kulalamika kuwa nimemchubua. Nilidhani katia mpira kwapani lakini nilipomchungulia kwa umakini niliona michubuko mingi kunako eneo husika. Kumbuka tangu zamani mimi huwa nacheza show pekupeku.
Sasa kama nilikuwa na uwezo mkubwa kiasi hiki tatizo langu ni nini? Ni hivi: Sasa hivi naweza kukaa mwezi mzima bila kupiga show halafu nikawa niko vizuri tu. Kabla ya hapo nilikuwa zimalizi wiki 2! Baada ya mwezi mmoja kuna wakati ashki zinakuja kidogo na ikiwa sikupata huduma sometimes napata wet dreams za hapa na pale lakini kila nikipata dream, nikijikagua najikuta niko msafi – chombo hakitemi (kama ilivyokuwa zamani). Nime-experience wet dreams mara 2, tena kwenye drems napiga show hadi mwisho, cha ajabu hakuna dalili zozote za ‘kuchafuka’!
Hili ni tatizo, tena tatizo kubwa sana. Waswahili walisema “tatizo lisikie kwa mwenzako” sasa naona majanga yamegeukia kwangu. Siku zote nimekuwa nasikia watu wakilalamika kuishiwa nguvu za kiume, nikawa nadhani ni masikhara. Sasa nimeamini kweli kuna kuishiwa nguvu za kiume. Hali hii imenipa wasisi mkubwa sana na kunisababishia mzongo mkubwa wa mawazo, hasa ukizingatia kwamba idadi ya watoto niliotarajia kuzalisha bado haijatimia. Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu. Nifanyeje ili kurudisha nguvu zangu zilizopotea? Naona aibu kwenda kupanga foleni kwa Sangoma katika umri huu. Ni juzi tu mwanaume mmoja aliripotiwa kufariki, wakati akipata tiba kwa mganga ambapo mganga huyo alikuwa akiingiza dawa kupitia kwenye mrija wa uume. Naogopa sana. Ushauri wenu ni muhimu sana wakuu.
Nawasilisha.
Mkuu GuDume et al naomba mpite pande hizi mnipe ushauri wenu.
Cute buanaa[emoji23][emoji23][emoji23]Ubize na majukumu yanafanya watu wasahau kuwaza mapenzi.
Labda utuambie ukikutana kimwili na mke wako performance inakuwaje?
Makuu NO 101. acha kunywa pombe ikiwa unakunywa
2. fanya mazoezi ya kukimbia,kuruka kamba,kuogelea na kunyanyua uzito kiasi flan
3. kula chakula kingi chenye protein kama samaki,soya,maziwa,mayai pata ya kuku wa kienyeji,supu ya samaki au nyama na mboga za majani
4. tumia matunda kama parachichi,ndizi ,water melon n.k
5. kula vyakula vyenye nyuzi nyuzi kwa wingi
6. pumzika muda wa kutosha
7. pumzisha akili usiwaze hilo tatizo wazia kuwa tayari umeshapata ufumbuzi yawezekana ni tatizo la kisaokolojia pia.
8. kunywa maji kwa wingi na juice pia
9. acha kuangalia sana video za mikasi
10. acha KUCHEZA POOL nayo si nzuri.