Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

vijana wengi wanachanganya kufanya mapenzi na ku have sex.. kama unafanya mapenzi why umchubue mwenzio na magonjwa kama haya? au unafanyaje kumkomoa/ so wanatakiwa kupewa darasa la mapenzi.. na kunatakiw akuwe kumeloana na si kukavu kwa sabab kuna pokuw akikavu kunasababisha huko kuchubuke. na hiyo si raha ya mapenzi.
Pole mkuu! Over use of hiyo kitu is harmful too! Alafu kumchubua mwanamke haimaanishi unagegeda sana, inamaanisha alikua mkavu. Nenda hospitali mapema kama unahofia kwa waganga...
 
Yaani!!! Mtu anasugua kama anakwangua tangawizi!!!
 
Wengine wanaloa sema maumbile yao ndo madogo mkuu.
 
ile lubricant ni kwa ajili ya kulainisha .. umbile la mwanamke linatanuka na kusinyaa. bado haiwezi ikawa sababu ya kuchubua. ni kama elastic sema vijana wanapenda sana kuwachubukua huko ndani ndo wanaona wamepiga sana show... show ya kibabe. na akina dada msikubali kuchubuliwa au kutengenezewa vidonda huko ndani ndo mwanzo wa kupata magonjwa na matatizo ukeni. mapenzi ni raha so kama kunauma mwambie akuandae tena ujisikie raha... kupeana ni kikoa ati... mpe akupe mapenzi.
Wengine wanaloa sema maumbile yao ndo madogo mkuu.
 
Pole kwa tatizo lako, ingawa hujasema kwa sasa una uwezo wa kupiga bao ngapi! Zamani ulikuwa na uwezo wa kupiga bao 6, ninacho kijua Mimi ukikaa muda mrefu bila kupiga show uwezo wako unapungua kuliko ukiwa unapiga show za karibu karibu, jaribu kufanya hivyo halafu utupe mrejesho!
 
Kwa maelexo uliyoandika inaonyesha wazi kabisa ulianza kupungukiwa akili kabla ya kupungukiwa nguvu za kiume. Hebu niambie ni mwanaume gani mwenye akili timamu analowekaloweka tu uume wake hovyohovyo kwenye nyuchi za mabinti bila kinga?
 
Tafuta mbegu za maboga haraka sana na kula tikitiki sana acha kula wali na chipsi jipumzishe na sex kwa miezi 2 tu wakati huo unafata huu ushauri wangu

Na usiwaze kabisa kuhusu sex

Utakuja niambia hapa
 
Mkuu uache uongo bao sita mfululizo bila kuchomoa dushe au hzo bao sita unapiga unapumzika...atleast uniambie bao tatu mfululizo na sio sita huku kudanganyana
 
Mkuu utakuwa mchezo wetu ule umekuathiri. Hembu pumzika kubet utanipa matokeo[emoji13] [emoji13]
 
Mkuu utakuwa mchezo wetu ule umekuathiri. Hembu pumzika kubet utanipa matokeo[emoji13] [emoji13]

Hahahahaha! Umeona eeh? Ndio maana wiki hii sijajilipua mkuu, nimejipa mapumziko ya kutosha.😀😀😀
 
Hahahahaha! Umeona eeh? Ndio maana wiki hii sijajilipua mkuu, nimejipa mapumziko ya kutosha.😀😀😀
Pumzika kama mwezi mkuu. Huwa inaathiri japo wengine mikeka ikichanika tukipata k ndiyo tunaisugua vizuri kupunguza machungu
 
Mkuu uache uongo bao sita mfululizo bila kuchomoa dushe au hzo bao sita unapiga unapumzika...atleast uniambie bao tatu mfululizo na sio sita huku kudanganyana
Mkuu, hizo bao sita sio za ndani kwa ndani....napiga moja baada ya nyingine, so ikifika asubuhi nikijumlisha napata 6. Umeona eeh? Ni wanaume wachache sana wanaoweza kuunganisha, hasa wa mikoani....sisi wanaume wa Dar hayo mapigo hatuyawezi mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…