Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

Mkuu, hizo bao sita sio za ndani kwa ndani....napiga moja baada ya nyingine, so ikifika asubuhi nikijumlisha napata 6. Umeona eeh? Ni wanaume wachache sana wanaoweza kuunganisha, hasa wa mikoani....sisi wanaume wa Dar hayo mapigo hatuyawezi mkuu.
Apo nmekusoma...kama ndo hvyo mm napigaga hadi kumi hzo za kupumzika
 
Pumzika kama mwezi mkuu. Huwa inaathiri japo wengine mikeka ikichanika tukipata k ndiyo tunaisugua vizuri kupunguza machungu
Sawa mkuu.Lakini hata mm ikichanika huwa nahamishia hasira zangu kwenye K ila sasa kikwazo ni hili tatizo la poor performance.
 
Apo nmekusoma...kama ndo hvyo mm napigaga hadi kumi hzo za kupumzika
Heeee! Unapiga 10 mkuu? Naomba unisaidie dawa unayotumia maana mm siku hizi nikipiga kimoja tu mashine inasinyaa mpaka kesho. Nakereka sana.
 
Nilichoelewa mimi ni kwamba haumwagi mbegu.....hilo sio tatizo la nguvu za kiume.
Ni nini mkuu? Nifanyeje ili nirudishe nguvu zangu za awali?
 
Pia anza kufanya mazoezi uwe fit, mi sio mwanaume ila low performance inakupotezea confidence, usiombe na mkeo siku akwambie jogoo wako hapandi mtungi ndo atakuua kisaikolojia kabisa
Kama vile ulikuwepo mkuu, kuna siku nilikuwa naingiza jogoo anagoma kuingia bahati mbaya mama akachungulia na kuiona imelala, akasema "haingii kwa sababu imelala kumbe!"? Hii kauli iliniuma sana, nilitamani ninywe viagra nimkomeshe.
 
Heeee! Unapiga 10 mkuu? Naomba unisaidie dawa unayotumia maana mm siku hizi nikipiga kimoja tu mashine inasinyaa mpaka kesho. Nakereka sana.
Me nadhan hujaishiwa nguvu za kiume....me mwenyewe zaman nilikuwa nikipiga mabao mengi ndo najihc nko vzur kumbe ni kujitesa....cha msingi na muhimu sio kupiga bao nying bali ni kujifunza kujizuia yaan unaweza pump ndani ya lisaaa lizima bila kukojoa hapo utaifanya mashine izoee kuwa strong/kusimama kwa mda mrefu
 
Wanaume wa Dar mnanifurahisha sana!
kuanzia RC hadi vijana wa kijiweni kilio ni nguvu za kiume!.....mnanenepiana tu hamfanyi mazoezi,walalamishi kwa kila jambo.
Huku mikoani hatuna hayo matatizo ya kishezikishezi kama ya huko DAR
Ndio maana Mh. Rais akifanya ziara MIKOANI anajiachia maana anajua yupo na "WANAUME"sio vilaza wa DAR!
 
Mkuu miaka 36 bado una demu? kutopata usingizi wa kutosha nalo ni tatizo
 
Asante kwa ushauri mujarabu mkuu GuDume . Pamoja sana.
 
UMRI
MAJUKUMU
MAGONJWA
AINA YA VYAKULA
MWENZI ULIYE NAYE
DISAPPOINTMENTS KWENYE MAHUSIANO
SABABU ZA KIROHO
MWILI KUKOSA MAZOEZI
TENDO LENYEWE TU KUBORE
Kuna vitu vingi sana vinaweza kuwa vimesababisha, issue kuwa unakula vyakula vya wanga kwa wingi sidhani kama vinaweza kusaidia as in hivyo huleta nguvu hivyo utakuwa na stamina sio libido!
ambayo kimsingi ni kazi ya akili zaidi kuliko mwili unaoulisha wali ugali makande na mikate ya kumimina!
 
Kama vile ulikuwepo mkuu, kuna siku nilikuwa naingiza jogoo anagoma kuingia bahati mbaya mama akachungulia na kuiona imelala, akasema "haingii kwa sababu imelala kumbe!"? Hii kauli iliniuma sana, nilitamani ninywe viagra nimkomeshe.
Pole sana mkuu hyo hali inaumiza sana kwa mwanaume, maana mwanaume ni machine aisee, mkeo ingetakiwa akusaidie mawazo even hugging au kuchezeana kunachosha kuliko Ku do daily
 
Siunajua wanaume wengi ni wabakaji they don't care about our papuchi wao ni Ku deshi deshi kimakusudi
 
Badilisha msosi, acha kula wanga SNA, mafuta mengi, na sukari nyingi. Hili in tatizo linalowa fusumbua vijana wa kileo hususan wa daresalam
 
Angalia umri pia una mata,chakula na pombe angalia unywaji wako pia.je una mawazo mengi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…