Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

Mkuu pombe sinywi na pia sina mawazo mengi kiviiiile....kawaida tu!
Ok sasa anza kubadili focus ya mind yako,badili matembezi yako,badili set up ya vitu ndani kwako,kitanda,meza ya chakula,tembea sana,relax muda mwingi,kunywa maji mengi utaona mabadiliko
 
na nyie msikubali kubakwa kila wakati... semeni NO KUBAKWA. lazima papuchi ipikwe, iive iliwe
Siunajua wanaume wengi ni wabakaji they don't care about our papuchi wao ni Ku deshi deshi kimakusudi
 
Mkuu hata nikijaribu kuzitoa daily napiga kigoli 1 tu, nikitaka kupiga la pili mpaka nitikise mashine kama babu. Halafu hata nikiwa na wet dreams mbegu hazitoki....jambo ambalo si la kawaida kwa mtu mwenye nguvu zake. Hili ni tatizo kubwa sana.
Hahahah utapata tabu sana braza, mie hio hali ilintokea na pengine mbaya zaidi yako nikahisi waswahili wamenifanyia namna maana mtaa naoishi ni nuksi, kuamka na chale mwilini deile kawaida sana.

Ilitokea ghafla tu mzee baba asomi network hata niki minaji angelala uchi kifuani mwangu. Nilipagawa ghafla maana mie ni mtu wa marathon goli huwa ni 30-45 mins naziitaga za mkwezi!

Kutahamaki najikuta siko form kabisa. Niliwahi fasta kucheki presha na sukari nikaja gundua ipo normal. Nikakata soda nikaanza kupiga maji mengi na kutafuna tangawizi pamoja na cardio exercises. Baada ya week 2 nikawa nimerudi form.

Testosterone ndio tatizo na pia ukiwa mwili wako upo inactive mf. hupigi tizi lolote hapo ni shida. Unatakiwa upige tizi, unywe maji mengi na kulala masaa si chini ya 8 ku boost testosterone yako maana huzalishwa usingizini ndio maana ukiamka unakuwa umedisa.
 
Hiyo cardio exercise ndio ipi
 

Asante sana kwa ushauri mujarabu mkuu na pole pia kwa tatizo lililokupata. Ila hizo goli zako za dk 30 - 45 angalia usije ukafia kifuani kwa mtu. Mm simalizi dakika 5! Nawezaje kufika walau dk 10?
 
Mkuu izo dk5 hats kabla yakupata shida hiyo ulikua unafanya kwa dk5
 
Kwanza tambua kumchubua mtu sio ujuzi kwa game ni match rough tu. Vipi umeishiwa na hela? Maana hiki ni chanzo pia!
Watoto unazalisha wapi na wapi?
 
daaah ndugu tpaul

Kwa kweli miaka 36 kuwa na tatizo kama lako ni majanga, mimi lilinitokea angalau kuanzia 45.

Turudi kwenye tatizo lako specifically kama wengi walivyosema una tatizo la hormone kuzalishwa kiasi cha kutosha, lakini ningependa niongeze pia tatizo jingine ni mwili kwa ujumla kutokuwa katika hali ya kawaida. kwa mfano una tatizo la kupanda na kushuka kwa pressure, sukari na kufa kwa seli zako za uhai zinakufa kwa kasi mno kuliko zinazozalishwa. Kwa hiyo, ili tatizo lako liishe na uwe fiti pamoja na mazoezi na vyakula, nakushauri utumie Stem Cell itakusaidia sana sana.

Tulia mdogo wangu wala usiwe na msongo wa mawazo tatizo lako litaisha tu na kuwa historia kabisa katika maisha yako.

Nawasilisha.
 
Mazoezi kama yepi mkuu yatamsaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…