Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

Msaada: Nimeishiwa nguvu za kiume ghafla!

Acha kuwaza sana pesa. Zipo shughuli haziendi sawa kwako na umeweka mno mawazo huko. Kama zipo zipo tu usilale macho kodo. Mind zaidi mkeo na jinsi ya kumfikisha kilele. Jaribu kumkumbuka ulipomlowesha siku zileee utashangaa mambo yanajipa. Hakuna dawa na sana sana ni kudanganyana na kuleteana maradhi ya moyo bure.
 
Hahahaa, mwanamke hata ufanye naye mapenzi hawesilalamika amechubuka. Haujui kusex mkuu, mwandae vizuri alainike kunako njia ili ukipita ukute palaini, sasa wewe unasokomeza tu kidude chako as if unabaka
Kuna wengine katikati ya mechi anakausha bwawa
 
Mhhhh!!! Bao sita? Kweli? Haya bhana lakini kwa hilo suala huenda ni sukari, au kupungua kwa hormones
 
Mara ya mwisho ulifanya na nani?
Mara ya mwisho nili-wet dream na demu mmoja hivi wa mtaani kwetu, hata sina ny*g* naye--tunaheshimiana sana- ila utashangaa jinsi nilivyompiga mabao mfululizo lakini kuja kuamka usingizini nikajikuta mkavu wakati si kawaida yangu. Sijui nina majini mahaba mie niende kwa Mzee wa Upako aniombee!
 
Pole kwa hyo hali aisee, pendelea kula matikitiki Maji kwa wingi na mbegu zake husaidia sana wanaume aisee kwenye hayo maswala
 
Pia anza kufanya mazoezi uwe fit, mi sio mwanaume ila low performance inakupotezea confidence, usiombe na mkeo siku akwambie jogoo wako hapandi mtungi ndo atakuua kisaikolojia kabisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha kipindi hicho mshedede ulikua ukisimama naupandisha kwa juu kwenye chupi flani zilikua na mpira juu!

Kweli ngoma unakuta imegusa kitovu aisee
Hahahhahaha noma sana mkuu.
 
Pole kwa hyo hali aisee, pendelea kula matikitiki Maji kwa wingi na mbegu zake husaidia sana wanaume aisee kwenye hayo maswala
Tatizo wanaume tuna majukumu mengi
Na wakati mwingine maisha yanatubana sasa kichwa kinappata Moto sana kinaathiri kichwa cha chini
 
Asante kwa ushauri mkuu. Ila wasiwasi wangu ni kule kushuka kwa ghafla maana nilitarajia zipungue kidogo kidogo kadri umri unavyosonga lakini nashangaa mambo yamekuwa tofauti.
Karibu mkuu. Na hakikisha unapata a full good night sleep (at least 7hr or >) pamoja na chakula kizuri ukiweza nunua na vitamin C supplements.
 
Tatizo wanaume tuna majukumu mengi
Na wakati mwingine maisha yanatubana sasa kichwa kinappata Moto sana kinaathiri kichwa cha chini
I agree with you mkuu, mambo ni mengi sometimes you need to talk to ur partner msaidiane mawazo nyie wanaume huvumilia vtu kwa kuweka moyoni
 
Back
Top Bottom