Msaada..nimeitwa interview ya mtendaji wa kata

nnn

Member
Joined
Jun 6, 2011
Posts
41
Reaction score
3
Ndugu wana JF naomba mnijulishe maswali yanayoulizwa na TUME YA AJIRA kwa wale waliowahi fanya nao interview ya utendaji wa kata.Nawasilisha
 
hapa kazi kweli kweli labda kazi ujue kazi za katibu kata, uongozi na mambo ya katiba as they seem to be current issue
 
nenda kwenye website ya chuo cha serikali za mitaa kuna mwongozo mzima wa hao watumishi i know u got it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…